njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #21
Simba hadi imefikiwa hatua ya kuogopwa na kusemwa kwamba inatumia mbinu chafu ni hatua kubwa sana zamani nilikuwa nasikiaga hizi shutuma kwa kina mazembe na waarabu wa misri leo teams kubwa zinakuja kwa mkapa kwa uoga hivyo???? aiseeeeUmeandika facts zenye data watafyata mikia kama sio wao vile