njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #21
Simba hadi imefikiwa hatua ya kuogopwa na kusemwa kwamba inatumia mbinu chafu ni hatua kubwa sana zamani nilikuwa nasikiaga hizi shutuma kwa kina mazembe na waarabu wa misri leo teams kubwa zinakuja kwa mkapa kwa uoga hivyo???? aiseeeeUmeandika facts zenye data watafyata mikia kama sio wao vile
No i mechi 18 mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mechi 14 wameambulia point 10, ila naimani kwa hasira walizo nazo juu ya mafanikio yetu, hivi karibuni yanga wataanza kufanya vizuri saana kimataifa, sasa wana timu nzuri wasipoivuruguwa mwakani tunaweza pata timu mbili za kusumbua, kama simba itarudi vizuri maana tumekuwa na msimu mmoja tunafanya poa, unaofata tunaboronga.
Yanga wamekuwa kama mkasi, bila........ Haufanyi kazi, bila ya sisi wasingeshituka[emoji23][emoji1787]
Mkuu rekebisha hapo kwenye mechi isomeke 18 badala ya 14. Magoli ya kufungwa 41 na ya kufunga ni 13. Tofauti ni magoli 28 (-28) yanga inadaiwa ikomboe. Pointi ni 10 sawa na alizojikusanyia Simba msimu huu pekee wa makundi. Mara zote Yanga ikishikilia mkia.Mechi 14 wameambulia point 10, ila naimani kwa hasira walizo nazo juu ya mafanikio yetu, hivi karibuni yanga wataanza kufanya vizuri saana kimataifa, sasa wana timu nzuri wasipoivuruguwa mwakani tunaweza pata timu mbili za kusumbua, kama simba itarudi vizuri maana tumekuwa na msimu mmoja tunafanya poa, unaofata tunaboronga.
Yanga wamekuwa kama mkasi, bila........ Haufanyi kazi, bila ya sisi wasingeshituka[emoji23][emoji1787]
Kwa taarifa yako hii robo alioingia Yanga ndio hatua ya makundi kwa sasa. Kwani walikuwa wanacheza mechi moja ya mtoano halafu wanaingia kwenye makundi mawili yenye timu 4. Ndiyo hizo baadhi mlizogongwa goli 40 na bakshishi. Timu mbili zilitoka kila kundi kuingia nusu fainali.Mambumbu mnachagua takwimu mbaya za Yanga ili kujifurahisha,zile takwimu nzuri hamleti. Na mnavyojitamba utafikiri miaka yote mlioshiriki Michuano ya Africa mlifika hiyo robo fainali au kuizidi Yanga kimafanikio.View attachment 2197509
Walidhani hamasa ya Manara pekee ndio inacheza na kushinda. Waliposikia War In Dar.. WIDA akawadanganya upande wa pili wakachezea kichapo.Jitahidini basi muwe mnacheza angalau hata mechi 8 , yaani mbili tu chaliii mnabaki kuchungulia kwa jirani
View attachment 2197559
Mwaka gani? Matako veveMambumbu mnachagua takwimu mbaya za Yanga ili kujifurahisha,zile takwimu nzuri hamleti. Na mnavyojitamba utafikiri miaka yote mlioshiriki Michuano ya Africa mlifika hiyo robo fainali au kuizidi Yanga kimafanikio.View attachment 2197509