Mimi sijamiiani so sina shida huo upandeNdio Mkuu we unataka kujamiana hovyo hovyo bila mkataba? π
Kabisa bwashee π€£π€£ watu hatujaacha kuoa hivi hivi tu, mimi binafsi sipendi kuoa mwanamke ni mwanamke tu kwa sura na umbo ni vigezo vya kwanza kabisaπ hatari mkuu umeona jicho nyanya kwenye hiyo video.
Watu wanauchungu π.
Sijui kabisa kuhusu haya mamboKuna matokeo chanya hapo kwenye kujamiana(na_maanisha Familia).
Wapo wasio na mambo mengi mkuu.Kabisa bwashee π€£π€£ watu hatujaacha kuoa hivi hivi tu, mimi binafsi sipendi kuoa mwanamke ni mwanamke tu kwa sura na umbo ni vigezo vya kwanza kabisa
Bwashee nimetoka kwenye ndoa , mwaka wa kumi na mbili sasa , hivyo nitaingia kwenye ndoa nikiwa najitambua kamili ,na vigezo vipo wazi bwasheeWapo wasio na mambo mengi mkuu.
Changa karata zako vizuri uta_enjoy Ndoa kwa muda mrefu.
Ndiyo sifahamuMkuu haujui kuhusu familia au bado under 20?
Of course mkuu wapo wanawake wasio na mambo ya kishangingi ukitulia unawapata.Aisee hiyo AI imeimba kwa hisia na ujumbe umeenda kabisa. Ila mm lazima nipate mwenza kwakweli kuoa ni suna
ππ Daaa!! Mkuu umenichekesha sana.Bwashee nimetoka kwenye ndoa , mwaka wa kumi na mbili sasa , hivyo nitaingia kwenye ndoa nikiwa najitambua kamili ,na vigezo vipo wazi bwashee
Shukran kakaHapo sawa mkuu endelea kujifunza time yako itafika.