Hahahaha bwashee ,usioe kumwonea mwanamke huruma, oa pisi kali na hilo ni tamanio la kila mwanaume timamu π€ nyumbu wengi wachukua kanya boya kisa hawana pesaππ Daaa!! Mkuu umenichekesha sana.
So ulikuwa cooling break(Marekani wanasema hydration time)?
Aisee changamoto sana Mkuu.Hahahaha bwashee ,usioe kumwonea mwanamke huruma, oa pisi kali na hilo ni tamanio la kila mwanaume timamu π€ nyumbu wengi wachukua kanya boya kisa hawana pesa
Una akili bwashee π€£Aisee changamoto sana Mkuu.
Sema me naamini life is collection of an experience(positive + negative). Alafu inakuwa funzo kwa wengine.
Mfano hii story yako yakwenda cooling break ππ ni nzuri itawafunza vijana.
Wakiona kwenye ndoa kunachemka wanaweza kwenda cooling break kidogo wapate maji baridi kwanza wakati wakisikilizia upepo.π
Ndoa ni lazima hata kama tikijifariji na kujidanganya ila haiondoi ukweli.Kwani ndoa lazima π
Kujifariji kwenye nini?Ndoa ni lazima hata kama tikijifariji na kujidanganya ila haiondoi ukweli.
Sio kweli Mkuu.
Ila ukioa/olewa na shangingi lazima uone ni utapeli.