Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea.
Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi.
Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani.
Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
Huyo Askofu yuko na wananchi wa wapi, kivipi, toka lini?
Chdema mchukueni kama mnaona ni maliWatu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea.
Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi.
Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani.
Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
Hatima ya Askofu ni kushinda vita hii kwa TKO hatari ambayo haijawahi kutokea ktk ulimwengu wa mapambano...Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea.
Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi.
Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani.
Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
Hii nchi nyumbu wengi sana mkono wa bouncer leo mkomboziKaamua kutembea kwenye nuru kwa kuikataa giza analo taji lake.
Bora kuwa kenge kuliko kuwa bundi
Agombee kupitia tume hii hii? Atakuwa anapoteza muda wakeSauti ni nyingi zinasema agombee uraisi....ni hakika atagombea mwaka huu....na atatingisha usivo kawaida
Achana na mambo ya AIHii nchi nyumbu wengi sana mkono wa bouncer leo mkombozi
Vyovyote vile, Anaekusaidia kuzichapa huyo tunamuweka upande wetu hatakama ana interest zake..Huyo Askofu yuko na wananchi wa wapi, kivipi, toka lini?