Anna pita
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 227
- 426
Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo.
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa.
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamnaKitu kidogo lazima mgombane japo sio ngum.
Kwenu kwa mwezi mnaweza cheka labda siku 5 tu zingine zote hamuongei pamoja..mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie.