Mnavunja ndoa nyieUsipofanya maamuz magumu utaumia mpaka ufe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnavunja ndoa nyieUsipofanya maamuz magumu utaumia mpaka ufe
No way outMnavunja ndoa nyie
Sasa utaolewa mara ngapiNo way out
Sina hata wazo mkuuSasa utaolewa mara ngapi
Duh sasa utakuwa wabadilisha migegedo...uniwekee nafasi na mie basiSina hata wazo mkuu
Ndoa zingine ni nzito, bora kufa kwa aibu tuuBado kitambo kidogo, yote haya yatakwisha.
Kuachana sio suluhisho, bali kujishusha kwako na kuomba msamaha ili hali hujakosea .
Yaweza kuwa jambo jema zaidi na lenye manufaa zaidi kwa pande zote.
Dunia hii kila mtu analo Jaribu lake.
AminaDuh sasa utakuwa wabadilisha migegedo...uniwekee nafasi na mie basi
[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi hayo yote yanatokea kati yenu na unayavumilia hapo unakua umesimikwa kama nguzo ya umeme au umepandikiwa kama mwembe????
Kama haileti furaha basi haimeki sense[emoji124][emoji124][emoji124]
UNASALITIWA kwa sababu ya ujuaji na kiburi 50/50 ngangari ngangari hakuna mwanaume anaweza vumilia huo ujinga wenu wanawake wa kileo, na utasalitiwa sana na ndio mkome wanawake wa kileoEwe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo.
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa.
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamnaKitu kidogo lazima mgombane japo sio ngum.
Kwenu kwa mwezi mnaweza cheka labda siku 5 tu zingine zote hamuongei pamoja..mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie.
Wanawake hawa wa 50/50 wanawezaje kujishusha ?!Pole sana
Katika maisha ya ndoa inabidi kuzingatia haya
Kujishusha
Kuthaminiana
Kupendana
Na kuvumiliana sana
Katika kitu mabacho wanandoa wengi wanakosea ni mmoja kujiona anajua kila kitu haya ndio matatizo yake
Jishushe wewe Kama mwanamke
Usimfatilie
Huu ndo upumbavu sitaki usikia!Unakua unavumilia kumbuka mna watoto
Umemueleza vzr, hakuna jaribu lisilo na suluhisho na pia hakuna marefu yasiyo na ncha,,,bora ajishushe yaishe waanze upyaBado kitambo kidogo, yote haya yatakwisha.
Kuachana sio suluhisho, bali kujishusha kwako na kuomba msamaha ili hali hujakosea .
Yaweza kuwa jambo jema zaidi na lenye manufaa zaidi kwa pande zote.
Dunia hii kila mtu analo Jaribu lake.
Kwenye Ndoa, mwanamke anakuwa chini ya umiliki wa mwanaume. Ukishindwa kujishusha na kusamehe unakosa sifa ya kuwa Wife material.Huu ndo upumbavu sitaki usikia!
Kwahiyo watt ndo wakufanye uishi kwa mateso?
Haya ukifa uwaache hao watt utakuwa umewasaidia nn?
Ushauri mzuri kabisa na suluhu lisilo na gharama yoyote na linaloweza kuboresha ndoa na kurejesha furaha na amaniUmemueleza vzr, hakuna jaribu lisilo na suluhisho na pia hakuna marefu yasiyo na ncha,,,bora ajishushe yaishe waanze upya
sijaona kitu cha kumuondoa mtu hapo
Mkuu hakuna mwanamke wa kujishusha hapo na ndio maana mpaka kalileta huku. Huyu ni style ile ya wanawake 50/50 yani hawa na wanawake wakishapata viajira hua hawataki kujishusha na ndio maana idadi ya masingldm mother inazidi kupaa juu kama bei ya cement.Bado kitambo kidogo, yote haya yatakwisha.
Kuachana sio suluhisho, bali kujishusha kwako na kuomba msamaha ili hali hujakosea .
Yaweza kuwa jambo jema zaidi na lenye manufaa zaidi kwa pande zote.
Dunia hii kila mtu analo Jaribu lake.
Kufanya maombi maombi Yana nguvu Sana ktika maisha yetuEwe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo.