Kwenye Ndoa, mwanamke anakuwa chini ya umiliki wa mwanaume. Ukishindwa kujishusha na kusamehe unakosa sifa ya kuwa Wife material.
Hivyo utaishia kuwa huru na kuishi maisha ya usingo mother tu. Wanaume wanapenda sana kuwa kwenye staili ile ya kimfumo dume. Wanawake wengi wanaotaka kuwa huru, ishu za usawa na kutovumilia upumbavu wa mwanaume - ndoa huwa zinawashinda.
Na ukiachika ukiwa tayari na watoto na thamani yako ya kupata mume mwingine huwa inapungua.
Nimemjibu kutokana na comment yake!
Najua kabisa mwanaume ni kichwa iko hivyo haipingiki!.
Mi siamini ktk 50/50 ,usawa!
Na hizi shida za Kwenye ndoa inategemea ni changamoto gani unapitia,kuna hatua ikifika best option ni kila mmoja kuendelea na maisha yake laa sivyo ndo tunasikia watu wameuana!
Mkuu wako wanawake wanaachika na watt na wanaolewa wengi tu[emoji3]haya mambo bwana hayatabiriki!
Mfano,nina rfk angu mwanaume maisha anayoishi kwenye hiyo ndoa naona tutamzika muda si mrefu nae anasema watt ndo wanampa mawazo wanamfanya avumilie ila angeshafanya maamuzi muda, vitu anavyofanyiwa mwingie hawezi kuvumilia!
Mke ni mama was nyumbani hafanyi kazi yyt!wana watt !
-no tendo la ndoa kabisa(sahivi unaenda mwaka)
-no chakula (mpk mwanamke ajisikie kupika,so ye huondoka nyumbani na njaa kwenda kazini, imekua kawaida)
-kila kitu anajifanyia(hivi sio shida sn, kufua nk)
-akimpa pesa ya matumizi mwanamke anafanyia vitu vingine,(soln.kaamua awe ananunua mwenyewe kila kitu anaweka ndani,na bado akinunua anapunguza sijui anapeleka kwao...)
-kuna siku katoka Kwenye mishe sa nne mwanamke kagoma kufungua mlango,mwanaume kalala nje! (Ndo vya kuvumilia hivi?kisa watt?
-akisafiri hakuna wala kuagana maisha yanaendelea!
#hayo ni baadhi tu#