Hadi hayo yote yanatokea kati yenu na unayavumilia hapo unakua umesimikwa kama nguzo ya umeme au umepandikizwa kama mwembe????Mmefika hatua hatamnagawana vitanda, mmoja akisafir hataWK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamna
.mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie
Ha ha haaaa unanifundisha uchawi?Mwenzako nilikuja kujua nimewekewa kipande cha nyama kwenye mbususu kikanuuliwa nikalishwa
Mbona nilitulia nikawa kama lofa sema aliharibu masharti baada ya kukombolewa niliambiwa hivyo
Na wewe mfanyie hivyo atatulia tu
Hiyo sio ndoa kilichobaki mtakuja kuuana tu, ni bora mkaachana kwa amani na kila mtu afanye yake.Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani
Endapo
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lkn hamna suruhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa...
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamna
Kitu kidogo lazima mgombane japo sio ngum
Kwenu kwa mwezi mnaweza cheka labda siku 5 tu zingine zote hamuongei pamoja..mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie
Na kufundisha njia ya kupata tulizo la nafsiHa ha haaaa unanifundisha uchawi?
Dah! Ndoa bana.. pale kwenye uchumba hua inavutia sana. Kila mtu anaitamani na kuwaza mambo meeengi mazuri. Shida iko hapo mkianza kuishi, makucha yataonekana, tabia halisi zitaonekana,. Sasa kama hekima imeenda pwani, mambo yanakua moto. Mwisho wa siku ulizaliwa alone, utakufa alone, kama haibambi, funga kiatu pita hv.Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani
Endapo
Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lkn hamna suruhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa...
Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm,
Tendo la ndoa hamna
Kitu kidogo lazima mgombane japo sio ngum
Kwenu kwa mwezi mnaweza cheka labda siku 5 tu zingine zote hamuongei pamoja..mmoja akitoka mwingine anakua na furaha kuliko uwepo wa mwenzie
bado unamuhitaji? .Ndan ya ndoa