Ni hatua zipi za kufata ili namba ya NIDA iliyofungiwa iwe accessible tena.

Ukiskia Nchi Ya kipumbavu ndo hii hapa.
Wao walivo chelewesha Vitambulisho Tulivumilia.

Sisi kuchelewa kufata ID tunafungiwa, Hapa ndo utajua Viongozi wetu hawatumii akili sawa sawa.

Kulikua na uwezekano wa kuzi Deactivate tu hizo no. ili muhusika asiweze kuitumia lakini siku akienda kufuata NIDA yake, Ana i activate.
 
Shida hata ofisini nilienda nikaambiwa mpaka nitumiwe ujumbe ndio nifuate na tulikuwa wengi kiasi chake
 
Nenda Kachukue NIDA
Tatizo Litaisha Hapo Hapo
Watu hawalalamiki bure mkuu.... Nilishawahi kufuata kitambulisho changu wakaniambia bila SMS siwezi kupata.

Ilikua mwezi wa pili mwaka huu mwanzoni wakaniambia nirudi nyumbani hadi nitumiwe SMS ndipo niende... Sijawahi kutumiwa SMS alafu walisema mwisho wa mwezi huo wa pili ndio NIDA watakamilisha zoezi la kumtumia kila mwananchi sms ya kufuata kitambulisho chake. Chaajabu muda umeisha na sms sijapata
 
  • Thanks
Reactions: rr4

Apo Siasa itawin
 
Nina Ndugu Yangu Alijiandikisha December 2024,Mwaka Huu January 2025 Kapata Number Ya NIDA
April Kuna Family Friend Alikwenda NIDA
Akakuta Kimeshatengenezwa
Hakuwa Na SMS, Mlengwa Alipojulishwa Na Jirani Kuwa NIDA Kuna Kitambulisho Chako
Akaenda Bila SMS ya Kuitwa Lakini Wakampa Chap
 
Watu hawalalamiki bure mkuu.... Nilishawahi kufuata kitambulisho changu wakaniambia bila SMS siwezi kupata.

Ilikua mwezi wa pili mwaka huu mwanzoni wakaniambia nirudi nyumbani hadi nitumiwe SMS ndipo niende... Sijawahi kutumiwa SMS alafu walisema mwisho wa mwezi huo wa pili ndio NIDA watakamilisha zoezi la kumtumia kila mwananchi sms ya kufuata kitambulisho chake. Chaajabu muda umeisha na sms sijapata
Kosa tulilolifanya hasa kwa sisi tulioandikisha vitambulisho 2017 na 2018 ni kutokuweka ushahidi wa ufuatiliaji wa vitambulisho.Nadhani kulitakiwa kuwepo na sehemu ya kusaini kila ukienda ofisi zao kuwa ulifika ila kitambulisho bado.Mfano mimi toka 2017 nilijiandikishia Nyamagana Mwanza nikaambiwa nitachukua kitambulisho NYABULOGOYA,nimeenda mwanza kila mwaka toka 2017 hadi 2023,mwaka 2024/25 ndio sijaenda likizo Mwanza.Muda wote nilipoenda Ofisi za kata Nyabulogoya naambiwaA vitambulisho bado,nilikuwa nawambia ninaishi mbali nawaachia namba za simu lkn huu ni mwaka wa 9 sijawahi kupigiwa simu wala kutumiwa sms,sasa hapo makosa ya kutopata kitambulisho mpk sasa ni yangu au ya serikali?Inamaana mimi kila mara niende mwanza tu bila sababu kila mwaka kwa ajili ya kitambulisho?Anyway mwaka huu nikipata likizo naenda kujaribu mara ya mwisho,nikikuta bado itabidi kusubiri utaratibu mwingine wa serikali juu ya wahanga wa vitambulisho NIDA kwa uzembe wao
 
Mimi nilijiandikisha ungalimited Arusha na nilipofuata kitambulisho wakasema vitambulisho vilikuja lakini vikarudishwa kwaajili ya maboresho.
Niliuliza zaidi wakasema vimesharejeshwa lakini sio kwenye kata hiyo bali vimepelekwa ofisi kuu pale kisongo hivyo nikihitaji nifike pale.
Nilienda nikakuta wanapokea watu wenye sms waliyotumiwa na NIDA tu huku sisi ambao hatujatumiwa SMS tukaambiwa turudi nyumbani hadi tuone sms ndipo tuende kuchukua... Muda umeenda sijaona sms hadi leo na walituambia muda wa mwisho ni mwezi wa pili mwishoni
 
Back
Top Bottom