Ni headphone/earphone za brand gani zina ubora wa juu?

The 17 Best Headphone Brands - Summer 2022 Reviews
  • Bose. Bose QuietComfort 45/QC45 Wireless. ...
  • Sony. Sony WH-1000XM4 Wireless. ...
  • Apple. Apple AirPods Pro Truly Wireless. ...
  • Sennheiser. Sennheiser HD 800 S. ...
  • Audio-Technica. Audio-Technica ATH-M50x. ...
  • Beyerdynamic. Beyerdynamic DT 990
* Hawa watu naona wamefanya review zao, na Bose imefanya vizuri zaidi.
*Bose huwa wana speaker ndogo, ila ni durable with best sound quality ingawa bei zimechangamka.
 
Safi
 
Asante mkuu,ila kwanini umezigawa hivyo kutokana na matumizi?namaanisha kwa mfano hizo za mazoezi huwezi kusikiliza ukiwa umetulia?au tofauti yake inakuwa nini? na ulinunua wapi?
Sorry sikuelezea

Za Mazoezi ni zile in-earphones. Zile unadumbukiza kabisa ndani. Zina ANC kali sana.

Za Pili ni headphones 🎧

Za 3 unazijua nadhani. Nipo safari nimebeba ya 1 na pili kama unavyoona:
 

Attachments

  • PXL_20220903_143305517.jpg
    581 KB · Views: 43
  • PXL_20220903_143254473.jpg
    496.5 KB · Views: 44
JBL unawaachaje Kwa mfano hawa watu ni hatari na nusu
 
Wengine wapo tayari kupata uziwi ila siyo kununua earphone zilizo salama
Mkuu hilo la uziwi wengi hawaelewi, kwamba hizi headphones/earphones zina athari kwenye masikio, unakuta mtu kafungulia sauti ya earphone ya buku jero mpaka uliyeko nje unasikia hadi wimbo anaosikiliza, yeye anaona poa tu, baada ya muda hiyo itamuathiri masikio.

Ndio maana wenzetu wanaboresha teknolojia ili kupunguza hizo athari ikiwepo kubalance music na ANC(active noise cancelling) ambapo sauti zisizohusika za nje zinazuiwa kabisa kuingia ili uweze kusikiliza kwa sauti ya wastani.
 
πŸ™πŸ‘βœοΈ
 
βœοΈπŸ‘πŸ™
 
Mimi nimeangalia reviews nyingi sana za earbuds/headphones.

Kwa earbuds, Rankings zipo hivi.
1. Sony WF-XM1000
2. Bose Quitecomfort
3. Senheizer momentum 3
4. Airpods Pro

Bei sio za kinyonge though, Sony WF-XM1000 (ninayotumia) inapatikana kuanzia 750,000 na kuendelea.
 
Una haribu masikio dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…