Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu mi nilishaanza kuzoea make kuna cku walinipa mpaka nikatamani kujfcha wakati hta hawanijui pole dadaduu
pole sana sister! lakini pamoja na yote juwa kuwa kukimbia changamoto siyo suluhu yake! kama unahakika na michango yako na pia wajiamini sitarajii kama utakimbia JF! nahisi "SELF ESTEEM" yako iko juu sana.. nashauri uendelee kuimaintain! am very junior in JF, lakini niliwai kupost thread yangu, ukatoa michango mizuri sana! so we still need you on your will!Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.
I am tired and i better not contribute.
Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH
hahahaha naona watu wote hawaoni umuhimu wako hapa sijajua kwa nini ila naona kama unaongea pumba sana na unajisikia sana ndio maana watu hakuelewa inabidi uongee points na usijifanye kwamba unajuwa sana wakati umeingia humu ndani juzi na kujiona mwenyeji mjuzi wa kila kitu........
Zaidi nakushauri usitoke tuendelee kuwa pamoja hapa na watu wameshindwa kukuelewa kwa sababu wewe ni kigeu geu!!
Duuuh :A S 13:Usiondoke Mwaego... Anaeondoka, huwa haagi....
Duuuh :A S 13:
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.
I am tired and i better not contribute.
Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH
I lovu u' NE PLS don'go i cant live without u my dear
Ili kukamilisha ndoto yako iwe kweli mtumie msg Max au Invisibo wakupige BAN ya MILELE
Tulikupenda sana, lakin naona Muumba kakupenda zaidi
Tutakukumbuka daima
Pumziko la Milele
😛oa😛oa😛oa😛oa
Hivi ndivyo Ma-great tinkers walivyo khe lhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee angalia hapa chini baadhi ya michango yako.
kila lakheri.