Ni heri nitoke jf

Ni heri nitoke jf

Duu mi nilishaanza kuzoea make kuna cku walinipa mpaka nikatamani kujfcha wakati hta hawanijui pole dadaduu
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH
pole sana sister! lakini pamoja na yote juwa kuwa kukimbia changamoto siyo suluhu yake! kama unahakika na michango yako na pia wajiamini sitarajii kama utakimbia JF! nahisi "SELF ESTEEM" yako iko juu sana.. nashauri uendelee kuimaintain! am very junior in JF, lakini niliwai kupost thread yangu, ukatoa michango mizuri sana! so we still need you on your will!
 
hahahaha naona watu wote hawaoni umuhimu wako hapa sijajua kwa nini ila naona kama unaongea pumba sana na unajisikia sana ndio maana watu hakuelewa inabidi uongee points na usijifanye kwamba unajuwa sana wakati umeingia humu ndani juzi na kujiona mwenyeji mjuzi wa kila kitu........

Zaidi nakushauri usitoke tuendelee kuwa pamoja hapa na watu wameshindwa kukuelewa kwa sababu wewe ni kigeu geu!!


na we ongea mambo ya maana. Kwani kuwa mgeni jf ndo kutojua kuchangia yanayoongelewa? Mponde kwa post zake siyo ugeni wake... Hata we ulikuwa mgeni.
 
yanini malumbano, yanini manenooo.. by 20%

:A S 103:byeeeeeeeeeeee
 
Hivi huyu mtu ameshaondoka au amebadili ID?
 
Namtafuta mume wake NE nimpe Tuzo, help please!
 
Binti,
Mimi ningekuomba tu uendelee, sikubembelezi kwa kuwa sina sababu ya kufanya hivyo, katika jamii hii (virtual community) ikiwa huwezi kuishi na watu, unawezaje kuishi nao huko uliko?
 
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

I am tired and i better not contribute.

Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH

Wewe mdada umejiunga Desemba 2010 na kumwanga manyanga Februari 2011, naona hata ukiolewa ndo yako haitadumu; na kama umeolewa basi lisemwalo laja. JF kipimo cha uvumilivu.
 
Ili kukamilisha ndoto yako iwe kweli mtumie msg Max au Invisibo wakupige BAN ya MILELE
Tulikupenda sana, lakin naona Muumba kakupenda zaidi
Tutakukumbuka daima
Pumziko la Milele
😛oa😛oa😛oa😛oa

Yaani wewe CPU.... ...:laugh::laugh::laugh::laugh:. Asante kwa kubadilisha avatar yako!
 
Hivi ndivyo Ma-great tinkers walivyo khe lhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee angalia hapa chini baadhi ya michango yako.


































kila lakheri.

NiMEKUBALI CV HAISOMI VIZUR! NadhANI HAJAISAIDIA XANA JAMII KAMA TUNAVYOLENGA!!
 
Not Enough sio vizuri kukimbia sababu tu watu wana comment vibaya post zako za kizushi.... sasa kama unaanziasha thread za kipuuzi ulitegemea watu wa comment vizuri, acha utoto au mr. kaamua kutokomea kabisa nini!!! Pole sana kwa yote yaliyokusibu lakini tutakosa sana thread zako za kip**zii... RIP dear Not Enough
 
Back
Top Bottom