Pre GE2025 Ni heri siku moja CCM ikakabidhi nchi kwa ACT kuliko kuwapa CHADEMA?

Pre GE2025 Ni heri siku moja CCM ikakabidhi nchi kwa ACT kuliko kuwapa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Nafuatilia mengi lkn haya hunipa wasiwasi upande wa CDM:-
* Kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali. i.e barabara, maji, umeme, tasaf, elimu bure, nk

* Masuala ya muungano - hapa wanaibua utanganyika na uzanzibari. Yaani kututenganisha

* Udini na uvyama - yaani akitokea mchungaji, padree, sheikh akaipenda CCM wao huja na hoja ya rushwa lkn upande hawasemi kitu;

* Ukanda na viashiria vya kulipiza visasi - CDM huonekana kwa kauli zao kwamba wakipata madaraka watakuwa na utawala wa jino kwa jino. Tofauti wenzao wa ACT.

Sasa kama ilivyofanyika DRC kati ya Fayulu na Chisekedi ni bora SIKU ikitokea CCM kura hazikutosha ili taifa lidumu na AMANi basi tuwaachie ACT na si CDM.

Hii haihitaji mjadala CDM mnaudhi sana.
 
Waliyemtuma kichwa kibovu, ccm imekosa waandishi kabsa
 
Wana CCM ndiyo hawana Amani na CDM lakini Wananchi wana amani na CDM.
Hii ni kwa sababu CDM kinasaidia Wananchi kujua haki zao na namna ya kuzidai.
Kwa miaka mingi CDM kimesaidia kufichua uovu unaofanywa ndani ya serikali.
Sasa kwa hayo machache ni lini wana CCM wataipenda CDM?
 
Human resources na ukomavu wa kisiasa bado sana.

Sasa hivi Nchimbi anakiondoa CCM katika siasa za kihuni, na kuirejesha katika siasa za kitaasisi. Wanasiasa hasa vijana walidhani kutukana wenzao ndio umaarufu, kwa Nchimbi wanakwama
 
Sasa kama ilivyofanyika DRC kati ya Fayulu na Chisekedi ni bora SIKU ikitokea CCM kura hazikutosha ili taifa lidumu na AMANi basi tuwaachie ACT na si CDM.
Mbona DRC Congo ni ile ile ya Kabila hakuna cha tofauti kilichobadilika?!
 
Back
Top Bottom