Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Nafuatilia mengi lkn haya hunipa wasiwasi upande wa CDM:-
* Kupinga kila jambo linalofanywa na Serikali. i.e barabara, maji, umeme, tasaf, elimu bure, nk
* Masuala ya muungano - hapa wanaibua utanganyika na uzanzibari. Yaani kututenganisha
* Udini na uvyama - yaani akitokea mchungaji, padree, sheikh akaipenda CCM wao huja na hoja ya rushwa lkn upande hawasemi kitu;
* Ukanda na viashiria vya kulipiza visasi - CDM huonekana kwa kauli zao kwamba wakipata madaraka watakuwa na utawala wa jino kwa jino. Tofauti wenzao wa ACT.
Sasa kama ilivyofanyika DRC kati ya Fayulu na Chisekedi ni bora SIKU ikitokea CCM kura hazikutosha ili taifa lidumu na AMANi basi tuwaachie ACT na si CDM.
Hii haihitaji mjadala CDM mnaudhi sana.