Ni hivi: Kwa waluga-luga, Dar-Es-Salaam ni kamji kadogo sana!

Ni hivi: Kwa waluga-luga, Dar-Es-Salaam ni kamji kadogo sana!

hizo connection ndo za utajiri hadi ndo wanaomiliki hayo maghorofa mjini au unaongelea connection za house party?
Hao watu wanaweza kukupa connection; mpaka ya kwenda kukutana na kishimba gerezani halipo.

Unamjua hata huyo Kishimba.
 
Watoto wa Dar-Es-Salaam waliobaki wanajiita watoto wa kitaa.

Hakuna wasichokijua hapo watoto wa kitaa.

Waruga-ruga mnatumia nguvu sana mjini.
 
Hii tabia ya waluga-luga kujifanya wanaujua mji binafsi inanikera.

Haya ndio mambo yanayomkera Haji Manara
 
Born and raised in Dar, ain't no spot in Dar I don't know. Labda kama hao ni newcomer, I been out there

Nothing special kwenye hako kamji ka matapeli tembea ujionee
Trust me asilimia kubwa ya watoto wa Dar siasa na wao ni ‘paka na maji’.

Huwezi kuwa mtoto wa mjini ukashinda JF hii ni lifestyle nyingine.

But then haya sio mambo ya mimi kubishana na wewe; mimi nani nikubishie identity yako.

Watoto wa Dar wanajiita watoto wa kijiweni: wanajuana na kujua kila kitu kwenye huo mji.
 
Back
Top Bottom