Ni huduma gani bora ya kutuma na kupokea fedha nje ya Tanzania?

Ni huduma gani bora ya kutuma na kupokea fedha nje ya Tanzania?

Hii pia nimeisikia ngoja nitajaribu kuicheki pia. Ahsante sana!
Mkuu hii world remit ni mkombozi halisi wa kutuma nakupokea hela nje ya nchi.Ni rahisi mno hela moja kwa moja kwenye mobile wallet yako.
 
Mimi naomba msaada wa njia rahisi wa kutuma pesa katika account ya benk iliyopo Nigeria na kisha mimi kutumiwa pesa Tanzania...kiufupi Nigeria na Tanzania
 
Mimi naomba msaada wa njia rahisi wa kutuma pesa katika account ya benk iliyopo Nigeria na kisha mimi kutumiwa pesa Tanzania...kiufupi Nigeria na Tanzania
Hii bado sijafahamu pia ila kuna app unaweza kutumia kama vile ile ya flutterwave
 
Back
Top Bottom