Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.