Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine mnatumia nn kufikiria??Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Viwango vya mpira timu za Africa hatupishani sanaInaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Kwa hiyo Hakimi alipokea maelekezo ya kupaisha penalty pia?Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Hujamwelewa,huyu chizi ni wa dini ya PAPA(wazee wa kubarikiwa). Sasa anawananga waarabu akiwashabihisha na dini ya mnyaazi MunguWewe ni muumini wa ile dini ya mnyaanzi nini? Maana mnamwonaga mwarabu kama ni malaika au mtu mwenye akili Sana kumbe ni kilaza tuu. Si ni huyu Morocco as lipata mafanikio kidogo kombe la dunia akawageuka waafrika wote na kuanza kusema kilichompa mafanikio ni uarabu na uislam ? Waafrika wslivyorudi kuwashtaki kwa mababu sekunde walitolewa
Tuliwahi kutamba kwamba haiwezekani Lesotho kanchi kadogo kaishinde Tanzania. Matokeo yake tuliyaona. Kama mpira utapimwa kwa idadi ya watu, India ndio wangekuwa mabingwa katika mchezo huo. Mpira pia hauna uhusisno na dini au rangi ya wachezaji.Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Hivi uzi kama huu unaendelea kukaa humu Rubbish kabisa.Kajitoe mhanga uwatete waarabuInaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Chizi karogwa Tena.....Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Usilete uislamu kwenye michezo... Kwanza mpira ni dhambi.. si ulisemaga hivyo siku unatoa hutuba masjidi kibiti pale..Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.