Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

Sasa,sasa wewe unakuaje chizi halafu hauna maarifa?Morroco walituambia wao ni "ma-Ulayaulaya" mtupu! Wamekutana "bundesafrikaan",kiatu mtu"!
Swadakta tena niliwachukia toka walipotukataa wa-afrika!! Infact team zote za waarabu zisipendi kama mbwai mbwai tu dadeki zao.
 
Anashabikia watu ambao hawataki kuitwa waafrika, pili mpira wao ilikuwa wa janja janja Sana tulikuwa kama tunawaabudu na la mwisho kiwango Cha waarabu ni Cha kawaida, wametuzidi kwa baadhi ya mchezaji mmoja mmoja
Ni kama misri tu ujanja mwingi kazi kuomba VAR check .. hivi unaona namna wanavyowagasi marefa ili wapate penati
 
Unaowatetea sasa walivyowabaguzi nenda uone comments zao full kupost masokwe sio kwa wacongo sio kwa wasouth,,,hawa walishasema wao sio waAfrica,,hawakutakiwa hata kushiriki Afcon!
Washenzi sana wamevuna walichopanda
 
Nini maana ya mgalatia?
 
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.

Si sawa kuna msaada kutoka [emoji115] juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?

South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.

Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Maagizo kutoka juu ya nini?
 
Na ndio timu pekee ambayo haijashinda mechi hata moja hadi sasa ndani ya dakika 90
Senegal pia ni timu ambayo ilikuwa haijafungwa mechi 17 kabla ya kufurumushwa na Ivory Coast, usikariri maisha.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Hiyo ni sarcasm au mwandishi ni pagazi wa waarabu. Zama za biashara haramu ya utumwa zilipita na sasa tunayafunga tu hayo maarabu.
Hahahaaa yaani sisi watz ni kama mazombi tumeshasahau huruma ya muarabu ndio imesababisha tucheze fainali za afcon hadi uganda akabaki kulalamika
 
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.

Si sawa kuna msaada kutoka [emoji115] juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?

South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.

Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Badala ya kuisikitikia Taifa stars unawaonea huruma waarabu!
 
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.

Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?

South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.

Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Uliingalia mechi ya Morocco na S africa? Na ile Penati! Walivyokosa nayo ni hujuma.
Uliwaona Morocco walivyokuwa wanahema dakika za mwisho. Hata kukngekuwa na extra time sijui kama wangemaliza.

Tatizo la hizo timu ni kungangania wachezaji wa Zamani ambao umri umekwenda, na miguu imechoka.
Alichoshinda S Africa ni Pumzi na stamina. Huu ni mtaji mkubwa sana kwa mpira wa kisasa. Morocco na Misri wawaandae wachezaji wapya vijana. Hawa wachezaji wa Umri wa akina Mbwana Samatha wote waondolewe.
 
Mbinu zenu tushazijua,sio zile zama kuanzia msosi mpaka maji mnatununulia.siku hizi tunafanya wenyewe..
 
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.

Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?

South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.

Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Morocco si walisema wao si Waafrika?!
 
Unaowatetea sasa walivyowabaguzi nenda uone comments zao full kupost masokwe sio kwa wacongo sio kwa wasouth,,,hawa walishasema wao sio waAfrica,,hawakutakiwa hata kushiriki Afcon!
Una ushahidi? Weka hapa.
 
Back
Top Bottom