Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
kwenye post yakoWapi nimetaja Uislamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye post yakoWapi nimetaja Uislamu?
Nioneshekwenye post yako
Nyie watu, akili na nyie vimepishana kabisaInaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Inshallah....Nyie watu, akili na nyie vimepishana kabisa
Unasahau hisani aliyotufanyia Uganda katika kuiwezesha Tanzania kushiriki fainali za Afcon za 2019.Hahahaaa yaani sisi watz ni kama mazombi tumeshasahau huruma ya muarabu ndio imesababisha tucheze fainali za afcon hadi uganda akabaki kulalamika
Mwarabu wa buza pole yako. Mimi n8mefurahi sana wale waliokuwa wanaitwa favourite kutolewa. Kimsingi ndio walikua wanapendelewa ili hiyo favorite ihalalishwe. Hongera kwa Ibory coast, SA na wengine wenye mchango wa kuwatoa wote waliokua wanaitwa favorite 😃😃😃😃😃Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Timu zenye ukafir??Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka [emoji115] juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Rudi kwenye hoja, Je, Mauritania na Senegal ni nchi za Kiarabu?Umeona nimeandika neno Uislamu popote pale?
Umezungumzia kuwa nmetaja Uislamu. Ni wapi nmetaja Uislamu.Rudi kwenye hoja, Je, Mauritania na Senegal ni nchi za Kiarabu?
South Africa ana record nzuri dhidi ya Morocco.Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka [emoji115] juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Mi sijasahauUnasahau hisani aliyotufanyia Uganda katika kuiwezesha Tanzania kushiriki fainali za Afcon za 2019.
Hata Mimi nilishagasema hivyo kabla hata Africon haijaanza nilikwambia hata The Lastdream kwamba Congo DR anaenda kubebe NdooCongo anabeba ndoo.
Kipindi mimi sijazaliwa wewe mama yako alikuwa bado hata kufikiriwa. Maana nimemwacha miaka kama 9 hivi.South Africa ana record nzuri dhidi ya Morocco.
Ukiangalia H2H utaona recently South anajipigia tu kwa Morocco.
Morocco pia hana record yoyote ya maana kwenye Afcon kashinda mara moja tu tena kipindi wewe bado hujazaliwa.
Timu ya namna hiyo haiwezi kufika popote kwenye mashindano.
Watu kwasasa wanajiongeza, (individual skills and talent),na wanawekeza kimyakimya bila makeleleInaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka [emoji115] juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi kadogo kanapita Robo Final?
South Africa wanawezaje ifunga Morocco? Siyo bure kuna mkono wa mtu. Kuna msaada kutoka juu. Lengo naona ni kutaka kuangusha utawala wa teams za kiarabu au zenye unasaba na waarabu. Ni hujuma na chuki tu.
Nimeumia sana. Teams zenye asilimia zaidi ya 90 ya ukaribu na uarabu zinaondolewa. Zinapita zenye ukafir ndani yake. Next time hatushiriki. Mtabaki wenyewe.
Africon ndio nini bossHata Mimi nilishagasema hivyo kabla hata Africon haijaanza nilikwambia hata The Lastdream kwamba Congo DR anaenda kubebe Ndoo
Ndio HIVYO HIVYOAfricon ndio nini boss