Ni ile hali ya kuisoma namba

Nimependa kucha na rangi yako yani chocolate fulani hivi
 
huyo mwalimu kashindwa hata kujiongeza ?? ..ningelikuwa Mimi nafanya inspection kwa wanafunzi ninao wafundisha nadhani nisingekosa hata Tecno p3 make wanafunzi wanazo cm za maana mpaka iPhone ..unajua sipendagi ujinga mimi
Mbona Amejiongeza Huyo Mkuu, Ametumia Njia Rahisi Kuhakikisha Hakosi Mawasiliano. Usawa Unabana, Haina Haja Ya Kutafuta Mpya Wakati Iliyopo Inaweza Kutafutiwa Namna Na Ikapiga Kazi.
 
Haya naona umeniumbua huku JF ! Miss confi ila karibu tena shuleni wasalimie huko kwenu!
 
Au ndo mamb y masharti mtu anayejitambua hawez tumia hiyo cm co umackin bali ni ujinga.
 
Ndiyo maana yeyote anayemchuna mwalimu...MUNGU ANAMUONA!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…