yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 1,830
- 8,636
ivi kwanini kuukubali ukweli huwa ni shida!!!! tempo ya nini best??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]Hapana mkuu Mimi nipo tempo shule moja huku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivi kwanini kuukubali ukweli huwa ni shida!!!! tempo ya nini best??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]Hapana mkuu Mimi nipo tempo shule moja huku...
Itakuwa kanda ya ziwa.Bashiri kwa aina hiyo ya CMU itakua nkoa gani
Hahaaa basi tufanye mpango hawa mapacha ktk vimeo wakutane[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23]ndio
Kwanini umewaza huko lake zone hahaaItakuwa kanda ya ziwa.
huduma ya manicure unapata wapi?Anza majadiliano hayo mkuu
Sijuihuduma ya manicure unapata wapi?
Mbona Amejiongeza Huyo Mkuu, Ametumia Njia Rahisi Kuhakikisha Hakosi Mawasiliano. Usawa Unabana, Haina Haja Ya Kutafuta Mpya Wakati Iliyopo Inaweza Kutafutiwa Namna Na Ikapiga Kazi.huyo mwalimu kashindwa hata kujiongeza ?? ..ningelikuwa Mimi nafanya inspection kwa wanafunzi ninao wafundisha nadhani nisingekosa hata Tecno p3 make wanafunzi wanazo cm za maana mpaka iPhone ..unajua sipendagi ujinga mimi
huduma ya manicure unapata wapi?Anza majadiliano hayo mkuu
umeelewa swali?..ama hujui niniSijui
Sijaelewa ndio maana nimejibu sijuihuduma ya manicure unapata wapi?
umeelewa swali?..ama hujui nini
Hahaaaaaaaa hahaaaaa.... Umetoa wapi application ya Jf kwenye ile CMU yako hahaaaaaHaya naona umeniumbua huku JF ! Miss confi ila karibu tena shuleni wasalimie huko kwenu!
Tempo ya kufundisha bestivi kwanini kuukubali ukweli huwa ni shida!!!! tempo ya nini best??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
Duuuh.... Ahsante sana jamoney daaaaahNimependa kucha na rangi yako yani chocolate fulani hivi
Umetaman kucha tenaHizo kucha
Kabisa aisee hii niyakupeleka makumbusho kabisa....kivutio kikubwa hiki...aliitumia babu mpka mjukuuIpelekeni makumbusho mnachezea fursa hiyo
madam !![emoji23]Tempo ya kufundisha best