Ni ile hali ya kuisoma namba

Ni ile hali ya kuisoma namba

huyo mwalimu kashindwa hata kujiongeza ?? ..ningelikuwa Mimi nafanya inspection kwa wanafunzi ninao wafundisha nadhani nisingekosa hata Tecno p3 make wanafunzi wanazo cm za maana mpaka iPhone ..unajua sipendagi ujinga mimi
Mbona Amejiongeza Huyo Mkuu, Ametumia Njia Rahisi Kuhakikisha Hakosi Mawasiliano. Usawa Unabana, Haina Haja Ya Kutafuta Mpya Wakati Iliyopo Inaweza Kutafutiwa Namna Na Ikapiga Kazi.
 
Haya naona umeniumbua huku JF ! Miss confi ila karibu tena shuleni wasalimie huko kwenu!
 
Ndiyo maana yeyote anayemchuna mwalimu...MUNGU ANAMUONA!!!!!
 
Back
Top Bottom