Si vema kusema vibaya fikiria mtu uko ndani ya familia halafu unaiambia familia yangu hii hawana akili sasa kama familia haina akili maana yake na wewe ni mmoja wapo,Yuda alimsaliti Yesu lkn hakuna mahali Yesu aliwahi sema huyu si mwanafunzi wangu alikaa nae kwa kuona huenda atabadilika.Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa
Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua
Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa
Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
Uko sahihiSi vema kusema vibaya fikiria mtu uko ndani ya familia halafu unaiambia familia yangu hii hawana akili sasa kama familia haina akili maana yake na wewe ni mmoja wapo,Yuda alimsaliti Yesu lkn hakuna mahali Yesu aliwahi sema huyu si mwanafunzi wangu alikaa nae kwa kuona huenda atabadilika.
Makanisa na madhehebu ya Leo hamtaki kuambiwa ukweli hamtaki kurekebishwaUko sahihi
Familia ni DNA
Yuda Iscariote Yesu alimvumilia kuwa atabadilika lakini yeye kwa hiari yake akiamua kujinyonga mwenyewe
Yesuhakuhusika na kifo chake
Yesu alikuwa mvumilivu mno alimvumilia hadi Petro hebu fikiria jitu kama Petro limeokoka bado lilikuwa na tabia za kipagani linatembea na kisu kama masai eti baunsa la kumlinda Yesu wakipojaribu kumvamia Yesu likatoa kisu likakata sikio la mtu.Yesu akarudisha lile sikio
Mchungaji Magembe TAG kwa kweli wamejitahidi mno kumvumvilia tena mno hongera kwa Askofu mkuu na maaskofu wa majimbo walijitahidi sana
Hadi kaamua kuondoka mwenyewe TAG kama Yesu alivyofanya hakumfukuza Yuda Iskariote wala Petro
Petro alibaki na Yesu na madhaifu yake Yuda Iscariote akaamua kujiua
Mchungaji Magembe kajitoa mwenyewe kanisa la TAG lisilaumiwe.
Ila binafsi naaamini kuwa hatua aliyochukua Magembe haiko sahihi kabisa mia kwa mia
Namwangalia binafsi kama mtu anayejiinua yeye kama yeye badala ya kusubiri Mungu amuinue kwa nafasi juu za kanisa
Hiyo tabia sio nzuri ilimudondosha Lucifer Mbinguni akatupwa chini na Mungu mwenyewe baada ya kujiona bora kuliko bosi wake Mungu
Mlio karibu naye kemeeni mapepo ya kujiinua yaliyo mvamia Magembe
TAG Magembe angekuwa mnyenyekevu akisubiri Mungu amwinue angekuja kuwa hata Askofu wa TAG Tanzania au duniani lakini anasumbuliwa na roho chafu ya kujiinua badala ya kuwa mnyenyekevu akisuburi Mungu amuinue anakaa tu kudharau walio juu yake kuna roho ya Lucifer imemvamia kuwa yeye ndie astahili kuwa juu
Ukiangalia hali ya makanisa ya Yesu Kristo ni mbaya kwa kweli.Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa
Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua
Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa
Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
Kurejesha palipomoka huhubiri ni vitendoHamtaki kuambiwa ukwel
Mchungaji Maghembe alikuwa mapema kweli na alidhamiria kurejesha palipobomoka ,lakini mmemfanyia figisu
Tatizo mmekariri uamsho mpaka watu wajazane ,uamsho unaanzia humo humo kanisaniKurejesha palipomoka huhubiri ni vitendo
Mwambieni Magembe wenu asome historia zote za uamsho ukitokeaje iwe Azusa revival ,welsh revival,great awakening, nk hazikuja kwa mtu kupiga yowe madhabahuni kuwa kanisa limekufa liwe TAG au lolote
Ingiene hata mitandaoni msome uamsho ulikujaje kwenye nchi mbalimbali duniani haukuja kwa mipasho ya ooh kanisa limekufa
Narudia anachohubiri Magembe sio uamsho arudi darasani asome how revival came miaka huko nyuma kama hana vitabu aingie google
Uamsho sio kutukana kanisa au viongozi waliopo au wanakwaya wanavyoimba!!
Ajifunze kwa revivalists waliopita asibuni new version yake ya uamsho kuwa uamsho ni kuponda structure na uongozi ulipo na majina ya makanisa yaliyosajilwa kwa msajili wa nakanisa
Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa
Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua
Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa
Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
Shotocan hii unaifafanuaje?“Na kwa malaika wa kanisa lililoko Sardi andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na hizo Roho saba za Mungu, na zile nyota saba. Nayajua matendo yako, ya kuwa una jina la kuwa hai, nawe umekufa."
— Ufunuo wa Yohana 3:1 (Biblia Takatifu)
Acha u hater, watu tuna rudi kwa kasi kwenye dini zetu za Asili baada ya kugundua kuwa hizo dini zenu zukizoletwa na melikebu ndio dini kafiri na za kimchongoKuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa
Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua
Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa
Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
Nadhani hii aliifafanua kwamba kuna kanisa linaloonekana na kanisa lisiloonekana. Kanisa lisiloonekana haliwezi kufa, litabaki kuwa na masalia na wengine tayari wako mbinguni lakini kanisa linaloonekana kwa maana ya madhehebu yanaweza kufa kama yatashindwa kulifunua kanisa lisioonekana.Uko sahihi
Familia ni DNA
Yuda Iscariote Yesu alimvumilia kuwa atabadilika lakini yeye kwa hiari yake akiamua kujinyonga mwenyewe
Yesuhakuhusika na kifo chake
Yesu alikuwa mvumilivu mno alimvumilia hadi Petro hebu fikiria jitu kama Petro limeokoka bado lilikuwa na tabia za kipagani linatembea na kisu kama masai eti baunsa la kumlinda Yesu wakipojaribu kumvamia Yesu likatoa kisu likakata sikio la mtu.Yesu akarudisha lile sikio
Mchungaji Magembe TAG kwa kweli wamejitahidi mno kumvumvilia tena mno hongera kwa Askofu mkuu na maaskofu wa majimbo walijitahidi sana
Hadi kaamua kuondoka mwenyewe TAG kama Yesu alivyofanya hakumfukuza Yuda Iskariote wala Petro
Petro alibaki na Yesu na madhaifu yake Yuda Iscariote akaamua kujiua
Mchungaji Magembe kajitoa mwenyewe kanisa la TAG lisilaumiwe.
Ila binafsi naaamini kuwa hatua aliyochukua Magembe haiko sahihi kabisa mia kwa mia
Namwangalia binafsi kama mtu anayejiinua yeye kama yeye badala ya kusubiri Mungu amuinue kwa nafasi juu za kanisa
Hiyo tabia sio nzuri ilimudondosha Lucifer Mbinguni akatupwa chini na Mungu mwenyewe baada ya kujiona bora kuliko bosi wake Mungu
Mlio karibu naye kemeeni mapepo ya kujiinua yaliyo mvamia Magembe
TAG Magembe angekuwa mnyenyekevu akisubiri Mungu amwinue angekuja kuwa hata Askofu wa TAG Tanzania au duniani lakini anasumbuliwa na roho chafu ya kujiinua badala ya kuwa mnyenyekevu akisuburi Mungu amuinue anakaa tu kudharau walio juu yake kuna roho ya Lucifer imemvamia kuwa yeye ndie astahili kuwa juu
Hujui lolote kuhusu mchakato wa imani kuwa potofu. After all Biblia inasema "Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini"?Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa
Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua
Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa
Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
Mtoa mada anatumia mihemko zaidi ya akili, nashawishika kuamini kuwa labda ni Teen-agerUkiangalia hali ya makanisa ya Yesu Kristo ni mbaya kwa kweli.
Staili za kidunia kuingia makanisani, Wakristo kuimba miziki ya dunia na kuiga mitindo na mavazi ya kidunia , Usaliti na Talaka kwenye ndoa kushamiri, Mchungaji Maghembe alikuwa sahihi. Kanisa linahitaji matengenezo na kuhubiriwa Injili ya Utakatifu. Hii Injili ya "ni Mwaka wa kufunguliwa", hapana.