Si vema kusema vibaya fikiria mtu uko ndani ya familia halafu unaiambia familia yangu hii hawana akili sasa kama familia haina akili maana yake na wewe ni mmoja wapo,Yuda alimsaliti Yesu lkn hakuna mahali Yesu aliwahi sema huyu si mwanafunzi wangu alikaa nae kwa kuona huenda atabadilika.
Uko sahihi
Familia ni DNA
Yuda Iscariote Yesu alimvumilia kuwa atabadilika lakini yeye kwa hiari yake akiamua kujinyonga mwenyewe
Yesuhakuhusika na kifo chake
Yesu alikuwa mvumilivu mno alimvumilia hadi Petro hebu fikiria jitu kama Petro limeokoka bado lilikuwa na tabia za kipagani linatembea na kisu kama masai eti baunsa la kumlinda Yesu wakipojaribu kumvamia Yesu likatoa kisu likakata sikio la mtu.Yesu akarudisha lile sikio
Mchungaji Magembe TAG kwa kweli wamejitahidi mno kumvumvilia tena mno hongera kwa Askofu mkuu na maaskofu wa majimbo walijitahidi sana
Hadi kaamua kuondoka mwenyewe TAG kama Yesu alivyofanya hakumfukuza Yuda Iskariote wala Petro
Petro alibaki na Yesu na madhaifu yake Yuda Iscariote akaamua kujiua
Mchungaji Magembe kajitoa mwenyewe kanisa la TAG lisilaumiwe.
Ila binafsi naaamini kuwa hatua aliyochukua Magembe haiko sahihi kabisa mia kwa mia
Namwangalia binafsi kama mtu anayejiinua yeye kama yeye badala ya kusubiri Mungu amuinue kwa nafasi juu za kanisa
Hiyo tabia sio nzuri ilimudondosha Lucifer Mbinguni akatupwa chini na Mungu mwenyewe baada ya kujiona bora kuliko bosi wake Mungu
Mlio karibu naye kemeeni mapepo ya kujiinua yaliyo mvamia Magembe
TAG Magembe angekuwa mnyenyekevu akisubiri Mungu amwinue angekuja kuwa hata Askofu wa TAG Tanzania au duniani lakini anasumbuliwa na roho chafu ya kujiinua badala ya kuwa mnyenyekevu akisuburi Mungu amuinue anakaa tu kudharau walio juu yake kuna roho ya Lucifer imemvamia kuwa yeye ndie astahili kuwa juu