Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Joined
Dec 31, 2018
Posts
95
Reaction score
55
Habari wakuu!

Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi

Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za movies labda kwakuwa mimi napenda sana movies.

Hebu tushirikishane, ni channel gani unaikubali na kwanini?
 
Maisha magic East
Channels zote za michezo kwenye DSTv.
Azam Sports HD nitaangalia mechi za watani wa jadi.

Nje ya mada ZUKU ni kampuni ya nchi gani? Coz wanapenda kurusha muvi za Nigeria 🤣
 
Back
Top Bottom