ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Labda nikupe access ya DStv NowYap sema kile kifurushi bei inashinda man. Hakuna uchochoro mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikupe access ya DStv NowYap sema kile kifurushi bei inashinda man. Hakuna uchochoro mwingine
Naming nafutilia vipindi vya wanyama na zaidi napenda program za wanyamapori wa nchi kavu. Tatizo hawa wazungu kwenye Nat geo wild na animaux wanaonyesha ma mbwa na mapaka saa zoteDSTV
National geographic
National geographic wild
family discovery
All Sport channel
Maisha magic plus
BET channel
Hata mimi napenda Sana michezo ya wanyama hasa jinsi simba alivyo mbabe yaani Hadi juzi ndio nimejua kwamba simba anakamata Hadi Tembo na twiga yaanikwangu channel bora ni
National Geographic Wild
na ndiyoo huwa naitazama nikiwa home
Siku hizi nat geo wild wako vizuri zaidi wanaonyesha big cat month yaani chui,simba n.k alafu nimependa karibu video zote zimeshutiwa Tanzania-Serengeti.Kwa mfano kuna story moja ya makundi ya simba wanapigana baada ya kuingilia territory ya wenzao mpk mmoja akafa, Imeshutiwa Ruaha-tz.Nimejua kumbe tiger ni mkubwa na ana nguvu kuliko simba, lakini jiulize kwanini simba anaitwa king of jungle?Naming nafutilia vipindi vya wanyama na zaidi napenda program za wanyamapori wa nchi kavu. Tatizo hawa wazungu kwenye Nat geo wild na animaux wanaonyesha ma mbwa na mapaka saa zote
Siku hizi nat geo wild wako vizuri zaidi wanaonyesha big cat month yaani chui,simba n.k alafu nimependa karibu video zote zimeshutiwa Tanzania-Serengeti.Kwa mfano kuna story moja ya makundi ya simba wanapigana baada ya kuingilia territory ya wenzao mpk mmoja akafa, Imeshutiwa Ruaha-tz.Nimejua kumbe tiger ni mkubwa na ana nguvu kuliko simba, lakini jiulize kwanini simba anaitwa king of jungle?Hata mimi napenda Sana michezo ya wanyama hasa jinsi simba alivyo mbabe yaani Hadi juzi ndio nimejua kwamba simba anakamata Hadi Tembo na twiga yaani
Nyani wanavyowatonya wanyama wengine hatari ikiwepo nk
Naipenda sana EWTNTV zote bongo hakuna yenye channel ya KIKATOLIKI iwe ya ndani ama ya nje ijapokuwa kuna channel kibao za nje za kikatoliki ambazo ni free on air kama EWTN
kipo channel gani?Yah hiko hiko 😂😂😂 huwa nikiangalia napata picha kumbe wazungu ni washenzi tu kama sisi huku. Nainjoy sana.
Kuna channel inaitwa ID itafute sijaishika ni namba ngapikipo channel gani?
Yes channel no 290, huwa sikosi aridhio
Investigation Discovery Azam ni no 200Kuna channel inaitwa ID itafute sijaishika ni namba ngapi
hahahahaha nami pia najifunza mengi mnooo nikiitazama hii channelHata mimi napenda Sana michezo ya wanyama hasa jinsi simba alivyo mbabe yaani Hadi juzi ndio nimejua kwamba simba anakamata Hadi Tembo na twiga yaani
Nyani wanavyowatonya wanyama wengine hatari ikiwepo nk