Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Inakuonesha channel zote kwa wakati mmoja...Hahah umeishiwa kifurushi
😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuonesha channel zote kwa wakati mmoja...Hahah umeishiwa kifurushi
IDx na Aljazeera na DiscoveryHabari wakuu!
Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi
Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za movies labda kwakuwa mimi napenda sana movies.
Hebu tushirikishane, ni channel gani unaikubali na kwanini?
Hata dstv ipo hii channelZuku - Trace Gospel
Uko sahihi, utakuta movie zinarudiwa hadi unakariri kabisa!Tatizo la DSTV ni kurudia sana mavitu...
Ukiwa na internet poa ni bora ujiunge na kitu kama Netflix, Discovery+, Crackle and other streaming services...
nami naipenda sana hii,,,ila waambie waache kumrudia rudia Dr poul na wale wa Snake street kila sikukwangu channel bora ni
National Geographic Wild
na ndiyoo huwa naitazama nikiwa home
Hivi Mkuu hizi chanali za kisomali zina maajabu ili na mimi niziset?Nipo naangalia FTA, NSS-12
Hornsat's sport 4
Hawa Telemundo wana mikwaju mikali ya kicolombia. Ila Way to paradise ni konyo.118 telemundo, 182 natgeo wild, 406 aljazeera, 130 mtv africa;have faith & ridiculousness, na kuna ile chaneli ya misosi, food nini sijuii.
Zote dstv
Kuna FTA zinaitwa TOP MOVIES 1 &2, panorama action, TV 6, SMART TV, 55555, alhal movie, na moja ilikuwa inatwa nais alihal movie zilikuwa zina movies za hatari sijui kama bado zipoNipo naangalia FTA, NSS-12
Hornsat's sport 4
Baadhi bado zipoKuna FTA zinaitwa TOP MOVIES 1 &2, panorama action, TV 6, SMART TV, 55555, alhal movie, na moja ilikuwa inatwa nais alihal movie zilikuwa zina movies za hatari sijui kama bado zipo