Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Hawa dstv wanaminya channel za ndani
....Ina maana. TCRS na Serikali imeshindwa kabisa kuwabana hawa Jamaa kwenda na. Sheria za Nchi kwamba Channel za ndani kupatikana bure kwenye Ving'amuzi vyao??
 
DStv...
CNN ch401
BBC Brit ch120
BBC lifestyle ch174
Etv ch250
NatGeo ch181
ESPN 218/9
SS ch220/223/224.....
Trace ch323
Movies ch112

Umetaja ch250 hapo Etv nikaikumbuka tamthiliya murua ya Scandal, Wasouth bhana wako vizuri! Mimi huwa siikosi weekdays ikifika 2:30 usiku tyr nipo home kuwacheki akina Dintle
 
Umetaja ch250 hapo Etv nikaikumbuka tamthiliya murua ya Scandal, Wasouth bhana wako vizuri! Mimi huwa siikosi weekdays ikifika 2:30 usiku tyr nipo home kuwacheki akina Dintle
Naangalia scanal na rhythm city na mimi sikosi.
 
Azam
1.Discovery science.Napenda jinsi vitu vinavyotengenezwa
2.National Geographic-Kuna kipindi Cha science of stupid na Airport security
3.UTV -Taarfa ya habari
4.Upendo Tv
 
Maisha magic East
Channels zote za michezo kwenye DSTv.
Azam Sports HD nitaangalia mechi za watani wa jadi.

Nje ya mada ZUKU ni kampuni ya nchi gani? Coz wanapenda kurusha muvi za Nigeria 🤣
Zuku ni Kampuni ya Kenya.
 
Back
Top Bottom