Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

Dstv sahv wanazingua kichz ..Maisha magic bongo sahv miyeyusho tuu hamna jambo wanarudia rudia Tamthilia ... Wameishiwa hawa hawana tofauti na startime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana humu wa star swahili hawapo????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TLC
Maisha magic Bongo
Lifetime
TBC
Boomerang
 
Natusio tumia hivyo ving'amuzi tunarihusiwa kutaja za kwetu tunazo zikubar?
 
Back
Top Bottom