Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

paka mafuta ya nazi na ingram au product yoyote ya cocoa iwe original na bio oil ila ukitaka kuwa natural na mzuri usiwe bahili tenga robo ya mshahara wako kabisa maana kila kiungo kina mafuta yake,uso mafuta yake,mikono mafuta yake,miguu mafuta yake,kucha mafuta yake,midomo mafuta yake,papuchi na mapaja etc ila rangi inakuwa moja
 
Wewe unamafuta aina ngapi na gani?
 
Back
Top Bottom