Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Yani nimekosa hata cha kukujibu.Asubuhi njemasamahani lakini ninaweza kuona picha
before and after
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani nimekosa hata cha kukujibu.Asubuhi njemasamahani lakini ninaweza kuona picha
before and after
sorry kama hukependezwa na iloYani nimekosa hata cha kukujibu.Asubuhi njema
Ila mtu unakuwa mweusi kama fungoNilishaitumia haichubui kabisa na inafanya ngozi inakuwa laini
Teh teh... Umenichekesha sana.Ila mtu unakuwa mweusi kama fungo
Inamafuta mengi sana
Mimi nimechanganya na bio oil. Ila kiuhalisia ina mafuta mengi, kama bluebandIla mtu unakuwa mweusi kama fungo
Inamafuta mengi sana
Umeona eeeh? Yan usipotafuta chakuup grade hiyo Queen Elizabeth unaweza kua kitu cha ajabuMimi nimechanganya na bio oil. Ila kiuhalisia ina mafuta mengi, kama blueband
bio oil ni nzuri jamani ila bei yake na ilivo kiduchu tena acha tuUmeona eeeh? Yan usipotafuta chakuup grade hiyo Queen Elizabeth unaweza kua kitu cha ajabu
ukiona kitu kinatangazwa sana insta usitumie!Umeona eeeh? Yan usipotafuta chakuup grade hiyo Queen Elizabeth unaweza kua kitu cha ajabu
Wapo kibiashara zaidi wanaaply na filter kumbe ni wabayaaukiona kitu kinatangazwa sana insta usitumie!
ujue ni mchina tu huyo
hadi nguo? maana kuna nguo nataka kuifata mahali nimeona kule elf 50Wapo kibiashara zaidi wanaaply na filter kumbe ni wabayaa
Kama nguo ukinunua utajuta
Labda uifate mwenyewe nakuithaminisha kama ni online unaweza jutahadi nguo? maana kuna nguo nataka kuifata mahali nimeona kule elf 50
haaaa ulilizwa shosti?Labda uifate mwenyewe nakuithaminisha kama ni online unaweza juta
Yeuwiiiiiiiii nililizwa suruali niliona nzuri kumbe wamepigia 360 inaonekana nzuri kuiona sasa ni ajabu yaanihaaaa ulilizwa shosti?
ahahaaa pole sana ila waliileta?Yeuwiiiiiiiii nililizwa suruali niliona nzuri kumbe wamepigia 360 inaonekana nzuri kuiona sasa ni ajabu yaani
Wanaleta lakini ndio hvyo kuna mambo kama hayoahahaaa pole sana ila waliileta?
pole sana asante kwa ushauri nitafata mwenyewe ila ile mikorogo yao sinunuiWanaleta lakini ndio hvyo kuna mambo kama hayo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] bora upake baby care yakopole sana asante kwa ushauri nitafata mwenyewe ila ile mikorogo yao sinunui
paka mafuta ya nazi na ingram au product yoyote ya cocoa iwe original na bio oil ila ukitaka kuwa natural na mzuri usiwe bahili tenga robo ya mshahara wako kabisa maana kila kiungo kina mafuta yake,uso mafuta yake,mikono mafuta yake,miguu mafuta yake,kucha mafuta yake,midomo mafuta yake,papuchi na mapaja etc ila rangi inakuwa moja
Quenn nzuri mwqnzoni ikikuzoea hamna kituKuna cream za oriflame, kama kuna wakala wa wa oriflame karibu muone akupime ngozi yako, kisha ataku suggest utumie nini kutokana na aina yako ya ngozi.
Au utumie Queen Elizabeth cocoa butter cream, imewakubali wengi.