Ni ipi dini ya kweli kama huku wanafungamana na huyu mungu wa wafu na mlinda makaburi

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu.

Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili.

a)Maana ya anubis.

Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and care of the dead, represented by a jackal or the figure of a man with the head of a jackal.

b)Uwezo alionao

Anubis has power over death. He walks between worlds, protecting the dead and ushering them to the afterlife

c) Swali
Je, ni upi basi mtazamo wako kiimani kuhusu hizi dini tulizo nazo kwa kuzingatia anubis na yeye anapewa kipaumbele hapo?

Karibuni kwa mawazo yenu
 
Attachments

  • Screenshot_20241027-120811.jpg
    Screenshot_20241027-120811.jpg
    313.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241027-120558.jpg
    Screenshot_20241027-120558.jpg
    272.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241027-120517.jpg
    Screenshot_20241027-120517.jpg
    316.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241027-120905.jpg
    Screenshot_20241027-120905.jpg
    271.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241027-120836.jpg
    Screenshot_20241027-120836.jpg
    237.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241027-120437.jpg
    Screenshot_20241027-120437.jpg
    347.7 KB · Views: 5
Hakuna dini ya kweli.
Amini unachoona ni sahihi.Hakuna anayeishi kwenye ulimwengu huu ambaye anaweza akakuhakikishia kuwa kuna dini ya kweli.
 
Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu.

Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili.

a)Maana ya anubis.

Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and care of the dead, represented by a jackal or the figure of a man with the head of a jackal.

b)Uwezo alionao

Anubis has power over death. He walks between worlds, protecting the dead and ushering them to the afterlife

c) Swali
Je, ni upi basi mtazamo wako kiimani kuhusu hizi dini tulizo nazo kwa kuzingatia anubis na yeye anapewa kipaumbele hapo?

Karibuni kwa mawazo yenu
Hakuna dini ya kweli hapa duniani, nafsi yako ndo dini yako. Hayo majina ya dini ni kampuni za watu kupiga pesa tu kwa wapumbavu.
 
Hakuna Dini ya kweli.

Hakuna MUNGU, Mungu, mungu, miungu au kiungu.

Hakuna Shetani wala Uchawi.

Vyote hivi ni dhana za kufikirika, imaginations just an illusion.
 
Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu.

Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili.

a)Maana ya anubis.

Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and care of the dead, represented by a jackal or the figure of a man with the head of a jackal.

b)Uwezo alionao

Anubis has power over death. He walks between worlds, protecting the dead and ushering them to the afterlife

c) Swali
Je, ni upi basi mtazamo wako kiimani kuhusu hizi dini tulizo nazo kwa kuzingatia anubis na yeye anapewa kipaumbele hapo?

Karibuni kwa mawazo yenu
Ngoja kwanza, huyo Anubis anaongea?

Je anatembea au anahamishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kubebwa?
 
Kile ninachokiamini akilini mwangu, ndio dini yangu! 👍🏾
 
Shida yenu ninyi walaghai huwa mnataka viongozi wa dini kama huyu Pope Francis wawe wanatembelea walokole na wakatoliki tu hamjui kuwa kiongoz wa dini ni wakala wa MUNGU kwa ajili ya kuhubili neno la MUNGU kwa kila kiumbe

Ndo maana huyo papa hata misikitini huwa anaenda ili kulifikisha neno la MUNGU kwa watu wote

Neno la MUNGU lazima liwafikie watu wote waislam, wachawi, mashoga, mafisadi,vibaka, wasomi,wanasayansi na hata mizimu na wenye kulifikisha hilo neno ni watumishi wa MUNGU

Kwahiyo Sion kibaya hapo
 
Back
Top Bottom