Kuamini kwamba uliota kama uyoga,
Mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile.
Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uthibitisho, uhakika na ushahidi.
kwamba hakuna aliyekuumba ni upumbavu wa hali ya juu!
Hakuna Mungu Aliyeumba chochote kile.
Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu na kumuumba kwenye fikra zenu.
Ndio maana huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu zaidi ya imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa na dini yako.
Kwamba tlitokeatokea tu!! Kwamba nguo uliyovaa ilitokeatokea tu!
Na huyo Mungu alitokea tu?
Kama umeweza kuamini Mungu usiyemjua na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake alitokea tu,
Unashindwaje kuelewa kwamba hata dunia ipo tu yenyewe pasipo kuumbwa?
Kwa nini unalazimisha kwamba dunia iliumbwa?
Hakuna aliyetumia muda, akili na nguvu zake ku'design' na kushona!!
Hakuna, Hayupo na hajawahi kuwepo yeyote yule aliye Design ulimwengu.
Kama unadai yupo, thibitisha uwepo wake na si imani zako uchwara tu.
Ni upumbavu kufikiri hakuna aliyeishona hiyo nguo! Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu!!
Mpumbavu amesema moyoni mwake kuna Mungu.
Kwa sababu una amini vitu usivyo na uthibitisho navyo.
Pole kwa kupigwa kekundu na shetani! Wajinga ndiyo waliwao!
Shetani hajawahi kuwepo na hayupo.
Huyo shetani mmemtunga vichwani mwenu na wala huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo shetani.
Hakuna Mungu wala Shetani.