Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Sasa Dini zilikitoka wapi?Hakuna mtume wa Mungu aliyekuwa na dini.
Ila waliamini Mungu tu.
Hata wewe unaweza kuanzisha yako tu na ukapata kondoo maana kondoo wengi hawajitambuiSasa Dini zilikitoka wapi?
Haya bwana,yote ni maoniHata wewe unaweza kuanzisha yako tu na ukapata kondoo maana kondoo wengi hawajitambui
Watu wa mnyaaaazi watakuja hapa na kusema kuwa hao wote walikuwa waislam ilhali hao wote wakati wapo hai UISLAM HAUKUWEPO.Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani?
Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi
Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani?
Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi
Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
Ni mwendo wa contradictions tu mzee hadi mwishoWatu wa mnyaaaazi watakuja hapa na kusema kuwa hao wote walikuwa waislam ilhali hao wote wakati wapo hai UISLAM HAUKUWEPO.
Ukiwabana vizuri kwa maswali wathibitishe kuwa hao walikuwa waislam, wataishia kutumia Biblia wasiyoiamini kujitetea na kujenga hoja.
Inashangaza