Ni ipi dini ya mitume wa mwenyezi mungu na manabii

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
1,054
Reaction score
1,947
Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani?

Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi
Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
 
Hakuna mtume wa Mungu aliyekuwa na dini.

Ila waliamini Mungu tu.
 
Mitume na Manabii wa Mwenyezi Mungu walikuwa Dini gani?

Kuanzia Adamu,Nuhu,Ibrahimu,Musa na Yesu,na wengine wengi
Sikalibishi matusi ni kwa ajili ya kuelimishana tu,kama unajiona huna hoja baki kama msikilizaji
Watu wa mnyaaaazi watakuja hapa na kusema kuwa hao wote walikuwa waislam ilhali hao wote wakati wapo hai UISLAM HAUKUWEPO.

Ukiwabana vizuri kwa maswali wathibitishe kuwa hao walikuwa waislam, wataishia kutumia Biblia wasiyoiamini kujitetea na kujenga hoja.

Inashangaza
 
Mungu yupi?

Ni mwendo wa contradictions tu mzee hadi mwisho
 
Back
Top Bottom