Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Dec 6, 2023 #101 Matrix19 said: Kwa Lowassa sikuwahi kumuunga mkono , Mbowe alichemka hapo huyu Lowassa kwangu ni fisadi mpaka kesho. Nchi ilikuwa inalipa $137,000 kila siku kwa kampuni hewa huku document za kampuni hewa akizihodhi zionekane ni halisi. Click to expand... Mbowe sio Fisadi?
Matrix19 said: Kwa Lowassa sikuwahi kumuunga mkono , Mbowe alichemka hapo huyu Lowassa kwangu ni fisadi mpaka kesho. Nchi ilikuwa inalipa $137,000 kila siku kwa kampuni hewa huku document za kampuni hewa akizihodhi zionekane ni halisi. Click to expand... Mbowe sio Fisadi?
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Dec 6, 2023 #102 Matrix19 said: Kwa Lowassa sikuwahi kumuunga mkono , Mbowe alichemka hapo huyu Lowassa kwangu ni fisadi mpaka kesho. Nchi ilikuwa inalipa $137,000 kila siku kwa kampuni hewa huku document za kampuni hewa akizihodhi zionekane ni halisi. Click to expand... Mpaka Lowassa anajiuzulu hata senti moja haikuwa imelipwa!! Sasa aliiba nini hapo?
Matrix19 said: Kwa Lowassa sikuwahi kumuunga mkono , Mbowe alichemka hapo huyu Lowassa kwangu ni fisadi mpaka kesho. Nchi ilikuwa inalipa $137,000 kila siku kwa kampuni hewa huku document za kampuni hewa akizihodhi zionekane ni halisi. Click to expand... Mpaka Lowassa anajiuzulu hata senti moja haikuwa imelipwa!! Sasa aliiba nini hapo?
Nehemia Kilave JF-Expert Member Joined Jan 9, 2022 Posts 1,414 Reaction score 3,118 Feb 13, 2024 Thread starter #103 zitto junior said: Mpaka Lowassa anajiuzulu hata senti moja haikuwa imelipwa!! Sasa aliiba nini hapo? Click to expand... John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida. www.jamiiforums.com
zitto junior said: Mpaka Lowassa anajiuzulu hata senti moja haikuwa imelipwa!! Sasa aliiba nini hapo? Click to expand... John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida. www.jamiiforums.com
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Feb 13, 2024 #104 mada kali