Pile F
Senior Member
- Aug 15, 2020
- 121
- 170
Ndugu Wanajamvi naamini mpo vyema wengine busy na mihangaiko Mola awawekee wepesi wengine pia salama kabisa, naenda kwenye mada mapema kabisa.
Wakati Kipindi cha kwanza kimeisha na wakati wa mapumziko Mechi ya Simba na Dodoma Jiji leo, tumeshangaa sana.
Tukiwa karibu wanaume 18 kwenye hii sehemu pamoja na wahudumu wa kike wawili na Dada mmoja mwenye mwanae mdogo mshabiki wa Yanga kindakindaki, pamekuwa na utulivu sana.
Pasipo kutegemea kumetokea kundi la wanawake watatu wakiwa na Jamaa mmoja wamekuja wanaongea sauti za juu mno mpaka wote tumekaa kimya kabisa.
Wanaowafahamu ambao ni wahusika wa hapa pia wamehusiana nao na nimeona ni kama wanakusanya pesa ya mlinzi nahisi ni viongozi wa Umma wa haya maeneo.
Mwanamke mmoja amevaa Kaptura na Vest nyekundu kama some men wa Kimarekani wavaavyo. Inasikitisha na funguo ya gari kaning'iniza kwenye loops za Kaptura.
Ana matusi sijawahi kuona. Guess ameongea nini bila aibu!! Hakuwa anagombana na mtu lakini ana Confidence ya juu sana na lugha yake ni mchanganyiko wa matusi mazito mno.
Ni matusi makubwa makubwa ambayo hata sisi Wanaume hatuwezi kuyazungumza hata iwe mahali panapostahili na sio rahisi hata hivo kuyazungumza.
Kinachotatiza Hawa watu mbona wamekuja kubadilika sana? Nini kimewapata wana wa kike?