Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana na wewe, kwetu ilikua kumwambia mwenzio unakiherehere ni tusi kubwa mno. Niliwahi kuambiwa mpumbavu, nililia sana nikaja nikakutana na watu wanatukana mpk mwili wote unasisimka na kutoka vile vipel vya barid kwa mshangao na watu hawashtukiukubwa wa tusi inategemea umekulia wapi
Kuna Mtu anasema Tusi la aina yoyote yeye mtukane akiwa peke yake atakufikiria, mkishakuwa watatu tu au zaidi basi Tusi halifaiNaungana na wewe, kwetu ilikua kumwambia mwenzio unakiherehere ni tusi kubwa mno. Niliwahi kuambiwa mpumbavu, nililia sana nikaja nikakutana na watu wanatukana mpk mwili wote unasisimka na kutoka vile vipel vya barid kwa mshangao na watu hawashtuki