Ni Ipi Heshima ya Mwanamke

Neno: Acha uhanithi

Kitendo: Kufukuzwa kikaoni
Sasa hayo ndiyo matusi?Ukiambiwa uache uhanithi si unapaswa kuacha vitendo vya kihanithi tu?Au ukifukuzwa kikaoni si unarudi kwako kupumzika?Sasa tusi liko wapi?😝😝😝😝😝
 
Sasa hayo ndiyo matusi?Ukiambiwa uache uhanithi si unapaswa kuacha vitendo vya kihanithi tu?Au ukifukuzwa kikaoni si unarudi kwako kupumzika?Sasa tusi liko wapi?😝😝😝😝😝
Hahaa kwani Mkuu asee!! Naomba Utuandikie mfano wa Tusi
 
Hahaa kwani Mkuu asee!! Naomba Utuandikie mfano wa Tusi
Mkuu,hakuna tusi duniani.Ni akili yako tu inavyokaa kupokea neno au kitendo.Utajizeesha kwa kulazimisha maneno au matendo fulani kuwa matusi.Relax!Kula ubwabwa wako kwa maharage.Furahia maisha na wananchi wenzako.😝😝😝😝😝😝
 
Umekuja lini mjini kutoka bara
Sipo mjini Kiongozi nipo huku sina kazi rasmi sana.

Vipi huko mjini naweza PATA gap? Nataman sana nipate issue ya maana Mkuu Mdukuzi
 
Sipo mjini Kiongozi nipo huku sina kazi rasmi sana.

Vipi huko mjini naweza PATA gap? Nataman sana nipate issue ya maana Mkuu Mdukuzi
Nimeuliza hivyo maana tuliokulia mwananyamala matusi ni kitu cha kawaida ,labda kama kuna tusi jipya ulisikia ambalo halijaingizwa kwenye kamusi useme sisi chama cha matusi tanzania tuliingize kwenye kamusi
 
Tukiwa tupo chuo kuna Mwalimu alituambia hakuna maana yoyote kupata alama 95 au 100 wakati ukipata 75 wote mlipata A. Yaan wote sawa

Sasa ukisema hakuna kitu Tusi unajaribu kusema hakuna wanaoteswa na tabia mbovu hasa za manyanyaso ya kauli.

Hapo nyuma kuliwahi kupamba moto sana mfumo dume, huu nao ili ufanye kazi kufoka na matusi ilikuwa kama Ganda la kiberiti na njiti.

Sasa niambie kweli aliyepata 98 anafananaje na anayepata 75? Akili nzima zinazovumilia matusi bado chache zikiongezeka matusi yatakuwa hayana tatizo Mkuu kama usemavyo
 
Mwalimu wako wakati anakufundisha ulipaswa na weye uchangamshe akili zako mbele,mbele yake!Using'ang'anize maneno au vitendo usivyovipenda au kukaririshwa tangu ukiwa mdogo kuwa ni matusi.Jipigepige kifuani na useme kwa sauti kubwa..."HAKUNA TUSI DUNIANI"...!😝😝😝😝😝
 
Nimeuliza hivyo maana tuliokulia mwananyamala matusi ni kitu cha kawaida ,labda kama kuna tusi jipya ulisikia ambalo halijaingizwa kwenye kamusi useme sisi chama cha matusi tanzania tuliingize kwenye kamusi
Mkuu Mdukuzi lisome Tena bandiko utakuja kuelewa baada ya siku 4
 
Kwa mwalinu kutoa kauli kama hii, haishangazi uelewa wa wahitimu wetu ulivyo chini ya viwango.
Vile vile kwa watu kuchukulia matusi ni lugha ya kawaida, haishangazi maadili ya hovyo yaliyomo kwenye jamii zetu.
 
Nimecheka sana.

Mkuu unaonekana ni wale wa Tusi halinitoi nyama. Matusi huathiri Utu na aina ya Maisha yenye Utashi na Hadhi

Hushusha heshima na kukaribisha dharau. Jamii inayoishi kwa kutukanana huwa inapata wakati mgumu kuwa karibu na watu Smart na wakati mwingine hulazimika kuwa BUBU Hadi watu hao waondoke.
 
Malezi legelege tangu utoto wake ndio sababu kuu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwalinu kutoa kauli kama hii, haishangazi uelewa wa wahitimu wetu ulivyo chini ya viwango.
Vile vile kwa watu kuchukulia matusi ni lugha ya kawaida, haishangazi maadili ya hovyo yaliyomo kwenye jamii zetu.
Ni sahihi Mkuu. Sijajua kama kuna kipimo kingine juu ya hilo la Wahitimu

Mwalimu huyu ni mmoja na kikawaida hawezi kuwakilisha hali iliyopo ya wahitimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…