Ni ipi hofu kubwa ya mwanaume katika hii dunia?

Ni ipi hofu kubwa ya mwanaume katika hii dunia?

Namba moja
Ukosefu wa pesa asikwambie mtu unaweza kujikuta unafanya kazi za ajabu Apo ndani mara ufute vumbi,upige deki ,utumwe sokoni SI huna pesa utafanyaje sasa
 
Ukosefu wa Ankara mengine dawa zipo.
Kitu gani kinakutisha zaidi ukiwa kama mwanaume?

1. Ukosefu wa fedha
2. Ukosefu wa nguvu za kiume
3. Kufumaniwa
4. Mkeo/mpenzi wako kuchepuka
 
Kitu gani kinakutisha zaidi ukiwa kama mwanaume?

1. Ukosefu wa fedha
2. Ukosefu wa nguvu za kiume
3. Kufumaniwa
4. Mkeo/mpenzi wako kuchepuka
Fedha ndo muhimu mengine yatafata yaani yatajileta
 
Bundle yaani nikikosa natetemeka ntaingiaje jf..in short Ni pesa maana Bila pesa aisee Ni hatari
 
Back
Top Bottom