Ni ipi kauli au msimamo rasmi wa Serikali ya Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar?

Swali chonganishi,ngoja kwanza hili jopo la wairani waliokuja kutuleta misaada hapa bongo waondoke ndio tutakuwa na majibu...
 
Acha uongo. Sinwar, tarehe 6 October 2023 akijua fika tarehe 7 analianzisha akaipeleka family yake handakini kuwalinda; watu wa Gaza wakati exposed kwa mashambulizi. Mashambulizi yalipozidi Aliomba Israel impe free passage aondoke Gaza in exchange for hostage release. Wakati anauawa pale mji wa Philadephy, mji ulioko mpakani na Egypt alikuwa na fake passport na dollar za kutosha kumsaidia atorokee Egypt. Ila nyinyi maislamists Taqqya ni Jadi yenu ni lazima tu mpindishe story ili kutetea dini yenu. Hebu jaribu taqqya yenu pia kwenye hii video.

View: https://x.com/Salwan_Momika1/status/1848968043105247437
 
Hakuwa na jinsi ya kutoroka alipambana atoke lakini milango ilikuwanimefungwa. Alikutwa akiwa na kitita kikubwa cha pesa akiwa nazo kwenye bag lake. Ugaidi haulipi!!
 
siasa ya tanzania kwa nchi za nje ni kutofungamana na nchi yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…