Ni ipi kauli au msimamo rasmi wa Serikali ya Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar?

Ni ipi kauli au msimamo rasmi wa Serikali ya Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar?

Wadau hamjamboni nyote?

Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.

Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo: "Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"

"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”

Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani

Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili

Niwatakie usiku mwema.
Swali chonganishi,ngoja kwanza hili jopo la wairani waliokuja kutuleta misaada hapa bongo waondoke ndio tutakuwa na majibu...
 
Kupigania maslahi ya watu wake ndio unamuita gaidi? Kama yeye ni gaidi, Netanyahu ni nani?
Kwa mzania huo, wote ni magaidi.

Sinwar ni shujaa, hakukimbilia uhamishoni akawaacha watu wake katika shida. Aliishi nao hapohapo Gaza, akauawa nao hapohapo Gaza.

Subiri siku vita itokee hapa Tanzania uone ni kiongozi gani atabaki nasi hata baada ya mwaka mmoja wa vita.
Acha uongo. Sinwar, tarehe 6 October 2023 akijua fika tarehe 7 analianzisha akaipeleka family yake handakini kuwalinda; watu wa Gaza wakati exposed kwa mashambulizi. Mashambulizi yalipozidi Aliomba Israel impe free passage aondoke Gaza in exchange for hostage release. Wakati anauawa pale mji wa Philadephy, mji ulioko mpakani na Egypt alikuwa na fake passport na dollar za kutosha kumsaidia atorokee Egypt. Ila nyinyi maislamists Taqqya ni Jadi yenu ni lazima tu mpindishe story ili kutetea dini yenu. Hebu jaribu taqqya yenu pia kwenye hii video.

View: https://x.com/Salwan_Momika1/status/1848968043105247437
 
Hakuwa na jinsi ya kutoroka alipambana atoke lakini milango ilikuwanimefungwa. Alikutwa akiwa na kitita kikubwa cha pesa akiwa nazo kwenye bag lake. Ugaidi haulipi!!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar.

Kwa mfano Rais Joe Biden alitoa kauli ifuatayo: "Hii ni siku nzuri kwa Israel, Marekani na Dunia nzima"

"This is a good day for Israel, for the United States, and for the world,”

Ndugu zangu naomba kujua msimamo, tamko ,mtazamo au kauli ya Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye tukio hili kubwa duniani

Watanzania wengi naamini wangependa wajue Serikali yao imesimama upande upi wapi kwenye suala hili

Niwatakie usiku mwema.
siasa ya tanzania kwa nchi za nje ni kutofungamana na nchi yoyote
 
Back
Top Bottom