Jazajuan
Senior Member
- Dec 9, 2017
- 182
- 312
Sawa ni makaratasi nakubaliana na wewe...😅😅😅Jamaa amekuambia ukweli na hualisia wa Ulimwengu juu ya Elimu... Tumia akili kutafakari utamuelewa ila ukitumia hayo makaratasi yako unayoita Elimu hutomuelewa