Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makocha wote bora Ulaya wapo EPLKwa waliofatilia mpira kuanzia hizi ligi zilipoanza kuoneshwa kwenye local TVs mid 90s, watakubaliana na mimi kwamba upepo umekuwa unabadilika sana.
Tukitumia kigezo cha UEFA, utaona kwamba miaka ya 90 na 2000 mwanzoni ligi ya Italy ilikuwa bora sana, timu kama AC Milan, Inter Milan na Juventus ilikuwa ni timu ambazo hakuna anayetamani kukutana nazo.
Then ikaja Uingereza, Man Utd akiwakilisha UEFA, Liverpool kiasi, Chelsea pia. Baada ya kuibuka Messi Barca ikaanza kuleta ushindani UEFA, before that ni Real Madrid tu ndiye aliyekuwa anasumbua Ulaya. Barca amechukua mara 5 UEFA, kati ya hizo 4 ni baada ya Messi kuwepo. Hivyo Spain walikuwa ni force kubwa UEFA, Sevilla, Barca, Atletico na RMD.
Kuna timu kama Bayern Munich, Real Madrid na Juventus huwa haijalishi ligi zao ziko vipi, UEFA huwa wapo tu.
Miaka ya karibuni baada ya EPL kusign contract kubwa ya matangazo, ligi imerudi kwenye ramani, Liverpool anaingia fainali 2, anachukua moja. UEFA na Europa zinaingia fainal timu zote za EPL 2019.
Tutaendelea kuona timu za EPL zikisumbua ulaya kwa miaka kadhaa.
Sasa hivi ukizungumzia best coach, kwenye top 5 unaweza kukuta 3 au 4 wako EPL, tunasubiri kuona Pocchetino anaenda wapi.
La Liga inachosha mkuu saa 5 usiku ndo wanaonyesha mechi.wengi watapiga kelele kuwa La liga ni bora, ila ikifika weekend tunaenda angalia EPL, la liga wengine wanaangalia el clasico tuu
Hivi wewe unajua mpira kweli? hivi kati ya Man City na Liver ipi timu bora England?Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu ipi ni ligi bora kati ya la liga na EPL. Niseme kitu kimoja ambacho kinawachanganya watu ni vitu viwili: ushindani na ubora, watu wameshindwa kutofautisha both things.
Ligi ya Uingereza ni ligi ya ushindani lakini si bora, ukiangalia team kama Man U na Arsenal zina wachezaji baadhi ni wa kawaida ambao hata wakienda Leicester City number hawapati. Ndo maana wakicheza na team ndogo wanapata shida.
Ukiangalia team ya Man City ambayo ndio team bora kwa sasa EPL, ukimpeleka UEFA kajitahidi sana ni robo fainali. Kiufupi hawafanyi vizuri sana UEFA; mwaka jana kidogo ndo wamefanya vizuri lakini miaka 10 iliyopita mfululizo vilabu vya Hispania vime-dominate.
Ligi ya Hispania imekuwa ikifanya vizuri kutokana na ubora wa wachezaji walionayo pamoja na soka wanaocheza ndo maana vilabu vya uingereza vikikutana na vilabu vya hispain wanapata shida Sana.
Hitimisho: ingawa me ni mshabiki wa epl lakini kuhusu ubora wa ligi naona upo hispania but tukisema ligi ya ushindani naona upo epl.

Athletic Bilbao vs barca, hata usipo angalia match tiyari ulishamjua mshindi..lakini man u vs stoke city lazima ukae ukumbini ukiwa umeshikilia pumbu kujua kama man u yako itabaki salama ikiwa nyumbani ama itashinda na hata ikishinda basi ni kwa ushindi mwembamba wa goal 1:0 au 2:1La Liga inachosha mkuu saa 5 usiku ndo wanaonyesha mechi.
Sasa hiyo Ni bongo sio Dunianiwengi watapiga kelele kuwa La liga ni bora, ila ikifika weekend tunaenda angalia EPL, la liga wengine wanaangalia el clasico tuu
Epl ni ligi mbovu hata usipozitoa Liver na Mancityla liga ni ligi mbovu kama ukizitoa Madrid & Barcelona
Huo ni ushabiki wa wa tz na ndio kisa wengi wanashabikia smba na yangawengi watapiga kelele kuwa La liga ni bora, ila ikifika weekend tunaenda angalia EPL, la liga wengine wanaangalia el clasico tuu
Kweli kabisa. Mimi Premier League naweza nikakaa nikaangalia Watford vs Norwich kwa dakika 90 tena nafatilia haswaa lakini La Liga siwezi kumaliza hata dk 5 naangalia Leganes na Eibarwengi watapiga kelele kuwa La liga ni bora, ila ikifika weekend tunaenda angalia EPL, la liga wengine wanaangalia el clasico tuu
ndio uhalisia, huwezi enda angalia leganes vs deportivo, ila unaeza enda angalia Nowrich vs newcastle, sasa wengi hiyo la liga watasema ni bora ila hata hawaangaliiKweli kabisa. Mimi Premier League naweza nikakaa nikaangalia Watford vs Norwich kwa dakika 90 tena nafatilia haswaa lakini La Liga siwezi kumaliza hata dk 5 naangalia Leganes na Eibar
Hahahaha hatari mkuu.Athletic Bilbao vs barca, hata usipo angalia match tiyari ulishamjua mshindi..lakini man u vs stoke city lazima ukae ukumbini ukiwa umeshikilia pumbu kujua kama man u yako itabaki salama ikiwa nyumbani ama itashinda na hata ikishinda basi ni kwa ushindi mwembamba wa goal 1:0 au 2:1
La liga inapoteza msisimko kwa kuwa team ndogo hazileti shida kwenye timu kubwa[emoji125][emoji125]