Ni ipi Logic ya kumpeleka mtoto wa miaka 5 Bording School?

Binafsi nimeenda board kuanzia fomu wani sema nilikuwa lizee kabisa Yale yanayochunga ng'ombe ndo kwanza shule. Maana nimeanza fomu wani nikiwa na 18yrs.

Ila kiukweli kidogo tu ilikuwa nianze kuchezea wengine kinyume na maumbile basi tu na zile balehe jamani zinasumbua Sana.
Mkiwa wanaume tupu ndipo unapoanza kumuona mwenzako aliyestahili kuwa mwanamke.
Kuna vijana walikuwa wanafanana na mama zao afu sura za kinyarwanda waliokuwa wanatokea ngara nbasi tu Mungu alitusimamia tukavuka.

Yaani Kuna muda ishu inasumbua ni balaa unashangaa unaanza kumshikamshika mwenzako.
Kuna kijana alitokea tanga alikuwa ni mlaini balaa.

Ile natoa ishu namuonyesha tuliotahiriwa na kisu kijaana anaishika kabisa ujue mpaka nikatoaga mlendamlenda ule.
So hapo unadhani mazingira ni hatari Sana.

So mtoto anatakiwa aende akijitambua hata ameshashiriki penzi na jinsia tofauti.
Hapa Kuna watu hawataweza kuchukua SoMo Bali watajikita na nilichoongea Ila brains katika ku digest Zina difa so kila kichwa kichukue ambacho ni easily attracted to
 
Mambo ya Logic Circuits hayo πŸ˜‚
Mie hata siyakusoma na nimesoma PCM yaani tokea O-Level electronics sikuisoma Ile labda nije kuijibia mtihani.
Ni Ile kusoma juu juu tu. Nilikuwa selective mno na fani yangu chuoni imekuja kujikita kwa tawi moja tu la physics ambalo ni mechanics yaani pengine nilikuwa nafanyia bure.
Na mechanics tulielewana nayo Sana
 
Hahahahah kwahiyo ofisi yako ya Welding iko maeneo gani kwa sasa chief ili niweze kukupa dili za mageti na madirisha!
 
Unasema kweli kama shule zetu hawazingati kutenganisha watoto kufuatana na umri, nakumbuka enzi zetu zenye kujielewa darasa la kwanza hadi la tatu watatoka break na kutumia vyoo tofauti na wale seniors darasa la nne kama sikosei kwenda mbele nao wana time yao na vyoo vyao
 
Wenzetu wanazingatia umri sio mchanganyiko wa 18 na 11 kuepusha ubabe
 
Watu wanajua kuzalishana tu, malezi ni mzigo wa dada wa kazi au mwalimu.
 
Ila mkuu pamoja na usomi wako unajua mechanics inatumika kwenye kuchomelea tu ama kwenye magari tu.mbona mechanics Ina application kubwa Sana na Ina branches nyingi ambazo inahitajika
Hahahah nimezingua tu mzee baba
 
Watanganyika tunaishi kwa kufuata mikumbo na uelekeo wa upepo.
Hivi kwa akili timamu unampeleka mtoto wa 4 to 11 years boarding school kufanya nn?
Walimu hawafundi malezi kwa watoto hao wanaangalia elimu tu na mtoto yupo salama basi, suala la malezi ya mtoto ni Mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…