Chief!!Umetoa majibu ya kisiasa.
Bado hujataja mipango ya serikali kutatua changamoto ya ajira.
Mfano kijana ana kipaji cha ubunifu au wazo la ajira, serikali inamsaidia vipi? Au kazi ya serikali ni kukusanya mapato tu?
Hiyo ni mada nyingine. Wewe unaniambia mabeberu wanatoa mitaji, hivi swali langu umelielewa Kweli?Mbona kuna mashirika kibao ya mabeberu yanatoa mitaji kwa vijana wanaotoka nchi maskini?
Unataka kusema nini?"Hii si awamu ya raha"
Achana na serikali ya Tanzania, jifunze kupambana wewe km wewe!Hiyo ni mada nyingine. Wewe unaniambia mabeberu wanatoa mitaji, hivi swali langu umelielewa Kweli?
Nataka kujua serikali ya awamu ya tano ya Tanzania ina mipango gani kutatua changamoto ya ajira!
Achana na serikali ya Tanzania, jifunze kupambana wewe km wewe!
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kivipi?Kitu ambacho wengi hatujagundua degree ya bongo inq expire date.
ukishafika miaka 35-45 hauajiriki tenaππππ
Kuna kitu watu wa HR wanaita ADEA (Age Discrimination Employment Acts) hapa mtu anabaguliwa hapati ajira kutokana na umri ,angalia nafasi nyingi za kazi zikitangazwa utaona wanaweka age limit utasikia not above 35 au not above 45 ss sidhani km Tz tuna hii kitu inayoitwa ADEA labda watu wa HR na au Sheria watusaidie ufafanuzi maana mm ni mhandisi sina uelewa mpana nyanja hii.Kivipi?