Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Je ni kweli shall be eligible tafsiri yake ni kuwa ni lazima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo tafsiri ya sheria hapo maana yake ni lazimaJe ni kweli shall be eligible tafsiri yake ni kuwa ni lazima?
Dhumuni ya kifungu hiki ni kumfanya Gavana awe na security of tenure maana yeye ndo mshauri mkuu wa masuala ya uchumi ya nchiBasi bora wangewapa miaka 10 moja kwa moja.
Born 1958.Prof Luoga ana miaka mingapi? Weka uthibitisho hapa
He was eligible, Sheria ya bank kuu haijasema gavana astaafu akiwa na umri fulani, hayo mambo ya afya na akili taarifa ya ikulu haijayataja imesema tu kamaliza muda wake na mwisho vigezo alikuwa navyo maana ni mwanasheria na sheria inatambua kigezo cha uanasheria kama moja ya vigezo vya kuwa gavanaNow lets question the eligibility, age, soundness of health and mind, academic qualifications etc
Sheria ya Benki Kuu haijaweka kigezo cha umri kama kustaafu kuwa gavanaBorn 1958.
Yawezekana. Nimeweka hiyo kwa vile uliuliza umri wake.Sheria ya Benki Kuu haijaweka kigezo cha umri kama kustaafu kuwa gavana
Haipaswi kuwa hivyo. Moja ya vigezo vya nchi imara ni nchi zinazosimamia vizuri sheria walizojitungia wenyewe. Lazima tuwe na wivu wa kusimamia na kuheshimu sheria tulizojitungia wenyeweYawezekana. Nimeweka hiyo kwa vile uliuliza umri wake.
Yote kwa yote kuvunjwa katiba ni utamaduni wa nchi yetu. Mifano mingi ipo. Ndiyo sababu wengine wanasema hata tukipata katiba mpya kama haiheshimiwi hakutakuwa na faida.
Sheria ya kijinga hiyo ina maana gavana au CAG akiteuliwa na miaka 40 akae pale mpaka afikishe miaka 70.Assad aliondolewa akiwa hajafikisha umri wa kustaafu, huyu ameondolewa akiwa kafikisha umri wa kustaafu.
Una hoja ya msingi,asante.Halima Mdee na Wahuni wenzake 18 Walifukuzwa na Chadema lakini Wakaendelea kuwa Wabunge MBONA MWANASHERIA MKUU wa Serikali ALIKAA KIMYA ILA MNATAKA ASHAURI LA GAVANA?
Ndo mana linapotokea jambo lolote baya kuhusu Rais au Serikali, wa kwanza kujiuzuru ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali maana yeye ndo mshauri mkuu wa Rais na SerikaliKila siku ni kujifunza.
Mi nikadhani baada ya kuapa raisi, anamteua Waziri Mkuu kwanza!
Sijui kwanini tunadhani kuwa hao wenye taaluma ni muhimu sana kuliko wenye siasa kwa hii TZ yetu.
Si ndo wanasheria wakuu wote walioshiriki kusaini mikataba mibovu na kujinufaisha tangu enzi na enzi?
Si ndo hao hao wanashiriki bungeni kupitisha tozo na mikataba ya dharula ya usiku kwa usiku?
Si ndo wao wanahusika kwenye mikataba ya kuuzwa vitalu, wanyama, madini hata raia?
Umuhimu wao ni upi? Kusimamia raia kupiga miaka 600 jela kwa kosa la kuiba kwa kubomoa nyumba ya raia mwenzake na kumuacha mwenye 240bn bila kuwa na maelezo ya anazipataje?
Sheria ya kijinga hiyo ina maana gavana au CAG akiteuliwa na miaka 40 akae pale mpaka afikishe miaka 70.
Luoga ana miaka 65,akalee wajukuu
Bado ni sheria ya kijinga,kama hamudu nafasi ba uchumi unadorora ,ameshindwa kumshauri Rais wake akae tu kida sheria,yaani nikuteua nishindwe kukutengua,sheria hiyo irekebishwe ni ya ovyoHapana wakiteuliwa sheria inasema wahudumu vipindi 2 tu vya miaka mitano mitano
Assad aliondolewa akiwa hajafikisha umri wa kustaafu, huyu ameondolewa akiwa kafikisha umri wa kustaafu.
Haipaswi kuvunja Sheria au katiba kwa kigezo cha busara. Kiongozi wa kisiasa mamlaka yakeni kwa mujibu wa katiba na sheria, akizivunja anaweka uhalali wa nafasi yake matataniNchi yetu kunawakati tunatumia sheria na kuna wakati tunatumia Busara/Utashi wa mtu husika
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app