MsaniiMkubwa
Member
- Sep 2, 2026
- 31
- 60
Kuna baadhi ya apps humu mtandaoni pamoja na kwamba zinajitangaza kama ni free, la ajabu unapomaliza kuitumia na kuhitaji kui save au download wanakuletea mpango wa kulipia kwanza.Kinyume cha hapo kazi yote uliyoifanya unaipoteza..
Sasa ni njia zipi rahisi za kulipia maana nyingi ya hizo kama sio zoie ni za kwao huko.
Sasa ni njia zipi rahisi za kulipia maana nyingi ya hizo kama sio zoie ni za kwao huko.